Sasa ni Professor Wilbrod Slaa

Sasa ni Professor Wilbrod Slaa

Whisper

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
502
Reaction score
207
Baada ya kukusanya hotuba zake zenye mashiko zipatazo 3,520, ninayo kila sababu ya kumuita huyu future president wetu Professor. Lengo ni kutofautisha mchango wako na ule wanasiasa wengine wanaoitwa Dr. (ama kwa kupewa ama kwa kusoma ki halali ama kwa kuchakachuwa). Upo mbali saaaana professor.

Basi kwa mamlaka niliyopewa na walalahoi wenzangu tunaopata mlo mmoja kwa siku na kutibiwa kwa mitishamba natamka rasmi ya kuwa wewe ni PROFESSOR!
 
Nimeshafungua champagne kizibo kimedokea magogoni!
 
Baada ya kukusanya hotuba zake zenye mashiko zipatazo 3,520, ninayo kila sababu ya kumuita huyu future president wetu Professor. Lengo ni kutofautisha mchango wako na ule wanasiasa wengine wanaoitwa Dr. (ama kwa kupewa ama kwa kusoma ki halali ama kwa kuchakachuwa). Upo mbali saaaana professor.

Basi kwa mamlaka niliyopewa na walalahoi wenzangu tunaopata mlo mmoja kwa siku na kutibiwa kwa mitishamba natamka rasmi ya kuwa wewe ni PROFESSOR!

elimu yako tafadhali
 
We uliyeandika hapo juu ni **** ungesema SLAA ni pro. wa kuchukua wanawake za watu ningekuona wa maana, utaendelea kuwa maskini kwa kushabikia wanasiasa wa inchi hii
 
Na wewe ni wa tofauti sana, pamoja na kukutambua naomba uni-pm nikutambue kwa ukomavu wa akili na uwezo wa kuchambua mambo. Pengine ungekuwemo mle mjengoni hakika unge-replace nafasi ya Prof. Slaa.
Big up sana!!!!!!!!
Baada ya kukusanya hotuba zake zenye mashiko zipatazo 3,520, ninayo kila sababu ya kumuita huyu future president wetu Professor. Lengo ni kutofautisha mchango wako na ule wanasiasa wengine wanaoitwa Dr. (ama kwa kupewa ama kwa kusoma ki halali ama kwa kuchakachuwa). Upo mbali saaaana professor.

Basi kwa mamlaka niliyopewa na walalahoi wenzangu tunaopata mlo mmoja kwa siku na kutibiwa kwa mitishamba natamka rasmi ya kuwa wewe ni PROFESSOR!
 
We uliyeandika hapo juu ni **** ungesema SLAA ni pro. wa kuchukua wanawake za watu ningekuona wa maana, utaendelea kuwa maskini kwa kushabikia wanasiasa wa inchi hii

Du !. Mbona hivyo? Kwani hao wanaopewa Udoctor si kuna vipengele vinafuatwa mkuu?. Yeye karidhika ndo maan anampa Uprof. Wewe inaelekea una chuki binafsi na Dr Slaa. Kakuto**** mkeo nini mkuu. Pole sana.
 
Mnaoshabikia vyama hamjui mtendalo,dr.slaa alishafikia wakati wa kuitwa marehemu mtarajiwa na hawezi kiongozi wa inchi hii mpaka tuingie folest kama kina joseph konny ndo mtajua siasa haziko kichwani, mi nashangaa mtu unaacha kufanya shughuli unakalia dr slaa pro, badirikeni bwana watanzania
 
Baada ya kukusanya hotuba zake zenye mashiko zipatazo 3,520, ninayo kila sababu ya kumuita huyu future president wetu Professor. Lengo ni kutofautisha mchango wako na ule wanasiasa wengine wanaoitwa Dr. (ama kwa kupewa ama kwa kusoma ki halali ama kwa kuchakachuwa). Upo mbali saaaana professor.

Basi kwa mamlaka niliyopewa na walalahoi wenzangu tunaopata mlo mmoja kwa siku na kutibiwa kwa mitishamba natamka rasmi ya kuwa wewe ni PROFESSOR!

hiyo itakua ni kuendekeza yaleyale tunayoyakataa humu ya kuvikana vilemba vya ukoka... profesa haandaliwi kwa kusoma/kuandika hotuba

sidhani kama hii ni progressive if we really want to nurture education
 
Mnaoshabikia vyama hamjui mtendalo,dr.slaa alishafikia wakati wa kuitwa marehemu mtarajiwa na hawezi kiongozi wa inchi hii mpaka tuingie folest kama kina joseph konny ndo mtajua siasa haziko kichwani, mi nashangaa mtu unaacha kufanya shughuli unakalia dr slaa pro, badirikeni bwana watanzania
umechemka kimtindo.
 
Na hao politicians wengine waliopewa udokta je vigezo gani vilifuatwa?
 
Mnaoshabikia vyama hamjui mtendalo,dr.slaa alishafikia wakati wa kuitwa marehemu mtarajiwa na hawezi kiongozi wa inchi hii mpaka tuingie folest kama kina joseph konny ndo mtajua siasa haziko kichwani, mi nashangaa mtu unaacha kufanya shughuli unakalia dr slaa pro, badirikeni bwana watanzania

Mh! Unaelewa kweli usemalo? Hapa kuna mahali popote umeona chama kinatajwa? pia jifunze kutunga hoja na siyo tu kuropoka kilichomo akilini mwako, Inchi! Folesti! Badirikeni! wewe ni mtu gani usiyejua hata kiswahili lakini unajitahidi kumchafua Dr Slaa? Kama pete ya dhahabu puani mwa nguruwe vivyo hivyo heshima haikupasi!
 
Back
Top Bottom