Wanajitahidi kututia Roho za hofu kwamba bila wao CCM Tanzania haitoendelea,kwa miaka 53 waliyokuwa madarakani na rasilimali za nchi hii Machache waliyofanya wanaona kama wametufanyia favour,jinsi walivyoharibu mfumo wote unaokumbatia majizi na ufisadi wa kutisha bado wanaona wanasatahili kuendelea kutuongoza?
Hizi Roho za utumwa na hofu ni za shetani,na mambo yao ni ya kishetani ndiyo maana mauaji ya Albino yameshamiri kwa washirikina hawa,sasa tunarudi kwa Mungu auondolee balaa hili,NAWALIZA WATANZANIA WENZANGU KWANI URAIS WETU NI KAMA MASIYA LAZIMA ATOKE KWENYE UKOO WA DAUD?
Mbaya zaidi ukoo huu una nasaba na shetani kwa matendo