Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,753
- 218,353
Hasara ambayo wafanyabiashara wa masokoni wanaipata baada ya bidhaa zao kuteketea kwa moto unaounguza masoko hayo haipimiki , serikali yao haijali lolote na wala ahadi ya serikali ya kuunda Tume za kuchunguza chanzo cha moto kwenye masoko hayo imegeuka kuwa uongo , hakuna majibu yaliyotolewa hata baada ya Tume hiyo kuundwa.
Ni vema Wafanyabiashara wakaanza kutambua sasa kwamba NI JAMBO LA HATARI SANA kwa wao kuendelea kutumia masoko hayo kama sehemu za kuuzia bidhaa zao , watafute namna ya kufanya , kimsingi Serikali ya Tanzania imeshindwa kuleta ufumbuzi kwenye jambo hili .