Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,703
- 8,481
Habarini wadau....
Kwa muda mrefu sanaa nimekua nikipata shida sana kwenye Lugha ya Malkia hasa kwenye kuandika/kuongea wakati humu ndani kuna wadau wengi sana wanaijua lugha ya malkia vizuri sana
Kama kila mdau anavyoichukulia JF kuna mengi sana ya kujifunza.
Ni hivi, Nikisoma kitabu cha Kingereza naelewa vizuri sanaaaaa sipati shida hata kidogo labda nikutane na misamiati migumu kama "UGILIGILI" kwenye kiswahili chetu ndio nitafungua nijue maana yake
Pia nikiangalia Movies bila hata subtitles nawaelewa vizuri tu pamoja na slaaang zao hawanipigi chenga( hii niliipata/niliiweza kuna kipindi nilikua nafanya ILETS, practicle ya LISTENING ilinibidi nijifue vya kutoshaaaa ko ikanipa sana kuwasikia hawa wajamaa).
Sasa ishu ipo kwenye kuandikaa, asalaaaleeeee, ni "broken tupu" broken english sio kwamba ni hujui kuzungu, kwa wenye lugha broken english ni ile time taken ya kutafuta maneno hapa na pale ili uunge iwe sentence, ila hapa Bongo broken ni kuchanganya Tenses.
Aisee kwa habari za Tenses mimi ni "dadavuuu la Tenses) zinanipiga chenga kama Messi anavopita
Sasa nimeamua hivi, humu kuna wakuu wapo njema sanaa mimi nitakua naandika broken sentens zangu nawatag wapite tuu najua watatoa marekebisho.
Najua wapo wengii, msisite kutoa marekebisho
Ila hawa watasaidia kuongoza jahazi
Kiranga, Nyani Ngabu, Waziri wa Kaskazini, Mshana Jr , Sky Eclat