Sasa nataka nijifunze Kiingereza cha Kuandika...

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
6,702
8,480
Habarini wadau....

Kwa muda mrefu sanaa nimekua nikipata shida sana kwenye Lugha ya Malkia hasa kwenye kuandika/kuongea wakati humu ndani kuna wadau wengi sana wanaijua lugha ya malkia vizuri sana

Kama kila mdau anavyoichukulia JF kuna mengi sana ya kujifunza.

Ni hivi, Nikisoma kitabu cha Kingereza naelewa vizuri sanaaaaa sipati shida hata kidogo labda nikutane na misamiati migumu kama "UGILIGILI" kwenye kiswahili chetu ndio nitafungua nijue maana yake

Pia nikiangalia Movies bila hata subtitles nawaelewa vizuri tu pamoja na slaaang zao hawanipigi chenga( hii niliipata/niliiweza kuna kipindi nilikua nafanya ILETS, practicle ya LISTENING ilinibidi nijifue vya kutoshaaaa ko ikanipa sana kuwasikia hawa wajamaa).

Sasa ishu ipo kwenye kuandikaa, asalaaaleeeee, ni "broken tupu" broken english sio kwamba ni hujui kuzungu, kwa wenye lugha broken english ni ile time taken ya kutafuta maneno hapa na pale ili uunge iwe sentence, ila hapa Bongo broken ni kuchanganya Tenses.

Aisee kwa habari za Tenses mimi ni "dadavuuu la Tenses) zinanipiga chenga kama Messi anavopita

Sasa nimeamua hivi, humu kuna wakuu wapo njema sanaa mimi nitakua naandika broken sentens zangu nawatag wapite tuu najua watatoa marekebisho.

Najua wapo wengii, msisite kutoa marekebisho

Ila hawa watasaidia kuongoza jahazi

Kiranga, Nyani Ngabu, Waziri wa Kaskazini, Mshana Jr , Sky Eclat
 
Mimi Niko bomba kwenye kuandika Ila kwakua ninatatizo LA kutoweza kujieleza at a kiswahili chanipiga chenga mbele za watu

Kama upo bomba naomba uwe mwalimu wangu pia, kuandika kwangu kuna mtihani sana
 
Habarini wadau....

Kwa muda mrefu sanaa nimekua nikipata shida sana kwenye Lugha ya Malkia hasa kwenye kuandika/kuongea wakati humu ndani kuna wadau wengi sana wanaijua lugha ya malkia vizuri sana

Kama kila mdau anavyoichukulia JF kuna mengi sana ya kujifunza.

Ni hivi, Nikisoma kitabu cha Kingereza naelewa vizuri sanaaaaa sipati shida hata kidogo labda nikutane na misamiati migumu kama "UGILIGILI" kwenye kiswahili chetu ndio nitafungua nijue maana yake

Pia nikiangalia Movies bila hata subtitles nawaelewa vizuri tu pamoja na slaaang zao hawanipigi chenga( hii niliipata/niliiweza kuna kipindi nilikua nafanya ILETS, practicle ya LISTENING ilinibidi nijifue vya kutoshaaaa ko ikanipa sana kuwasikia hawa wajamaa).

Sasa ishu ipo kwenye kuandikaa, asalaaaleeeee, ni "broken tupu" broken english sio kwamba ni hujui kuzungu, kwa wenye lugha broken english ni ile time taken ya kutafuta maneno hapa na pale ili uunge iwe sentence, ila hapa Bongo broken ni kuchanganya Tenses.

Aisee kwa habari za Tenses mimi ni "dadavuuu la Tenses) zinanipiga chenga kama Messi anavopita

Sasa nimeamua hivi, humu kuna wakuu wapo njema sanaa mimi nitakua naandika broken sentens zangu nawatag wapite tuu najua watatoa marekebisho.

Najua wapo wengii, msisite kutoa marekebisho

Ila hawa watasaidia kuongoza jahazi

Kiranga, Nyani Ngabu, Waziri wa Kaskazini, Mshana Jr , Sky Eclat
Senkiyu vele much for this welcoming in this poasrt.. Me myself I can lead all English language
 
Huuhu
tapatalk_1562681433242.jpeg
 
tuna tatizo moja mkuu.

Yaani jana tu nilikuwa nawaza sijui nitengeneze group la kusaidiana kwenye hii lugha.

Yaani tuwepo tunaotaka msaada na wakutusaidia. Yaani humo ni kuchart English tu. Ukikosea unarekebishwa.
 
If you are really interested with learning English language in both four aspects you just DM me I'll take you to a new level of proficiency and it's my hope that you will be helped to improve your fluency. I have experiences of 10 years.
 
Ninakushauri ujifunze kwa utaratibu maalumu.Hapa utapata maarifa lakini si rahisi kufuata utaratibu. Hapa fanya sehemu ya kuongeza ujuzi ama kufanya mazoezi.Install App hii ya BBC,imesheheni masomo kibao ya Kiingereza.Nenda sehemu wameandika programmes,chagua unachotaka kujifunza, bundle lako tu.
Screenshot_20190717-234812_Google Play Store.jpg
 
Pia, ukitaka kujifunza haraka, siku hizi maisha ni rahisi. Nenda kwenye social media kama vile Twitter, Facebook ama Instagram,kisha like pages za zinazotumia Kiingereza halisi cha America au UK. Hapa itategemea wewe ni mpenzi wa mambo gani,follow na kulike pages zenye mambo unayopenda. Mfano,kama ni mtu wa habari like na kufollow pages zifuatazo:

Voa News
Voa Learning English
BBC news
BBC Learning English(ndo hao wenye App niliyokutumia awali)
Aljazeera
NTV ya Kenya
Citizen ya Kenya
Euronews n.k.

Kama ni mtu wa fashion na mavazi like pages za Banana republic, Zara ,Gucci n.k.

Kama mtu wa mijadala ya kidini, like na kufollow pages za mijala kama vile Cristianity vs Judism, Atheism vs Theism ,Islam vs Christianity , Evolution vs Creationism n.k.

Mengine ni magrup,join huko. Ukiingia ama kulike utapata updates.Kila post zikitumwa jutahidi kuchangia na kusoma post za wengine. Jitahidi sana uwe unaandika na kujibizana kwa hoja na wachangiaji wengine.Kwenye pages za mafunzo kama BBC English utajifunza kanuni kisha utazitumia kwenye mijadala huko kwenye pages.Kule pia utakutana na native speakers,utajikuta unajifunza English halisi inayozungumzwa leo mtaani.Siyo kukariri Kiingereza cha vitabuni.

Kwa pages na magrup ,naweza kukusaidia kuyapata
 
Back
Top Bottom