Sasa nakupenda

Sasa nakupenda

Unaweza hisi 'umependwa'
kumbe no Cindy ndo kaona 'ugumu wa maisha'
so anahitaji mtu wa kumkimbilia akiwa na shida ndogondogo
ndo kakumbuka Zombie lake la siku nyiingi kakutafuta

Kama si shida za maisha huyo Cindy ungemsikia kwenye redio tu

Nahisi yeye ndio zombie said I yangu
 
Back
Top Bottom