Sasa nakupenda

Sasa nakupenda

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
12,077
Reaction score
24,439
Tulisoma wote Secondary nilikuwa form six she was form one. Enzi hizo mtu ukimaliza six hukosi kazi.Basi nikapata kazi Bank. Mambo mazuri, mshahara mkubwa, marupurupu, nyumba ya bure yaani full mserereko na kujiendeleza na masomo nkasahau.Baada ya miaka kadhaa nikaanza chuo CBE mwaka 2002.

Nikakutana tena na mtoto Cindy, anawaka kama taa. Nilikuwa nishamsahau nikawa nimepagawa na uzuri wake. Shikamoo kaka Humphnicky, za siku? Nikawa curious kujua ni wapi tulikoonana.Cindy akanikumbusha tangu enzi hizo Mbeya, Tully akiwa ndio Dada yake.OK nikawa namtembelea kwao room.

Moyo ukiwa unaenda mbio, nkamwekeza ninavyofeel, nikaambulia kibuti.Mzee nikaendelea kumtoa out za hapa na pale viwanja vikalivikali mwisho wa siku sikuambulia kitu.Tuliendelea kuwasiliana na kuonana and there was nothing special between us. Muda ukapita binti na maisha yake nami na yangu.

Siku moja akanikaribisha kwake, nikawa namtembelea mara kwa mara, akanifanya zaidi ya rafiki, tukawa business partners, overall supervisor, dressing advisor, comforter, msiri wake na kila kitu kwake. Najiuliza alikuwa wapi kufanya yote haya siku zote? Sasa nimeshaoa na nina watoto. Wanawake kwa kweli ni vigumu sana kuwaelewa.
 
Nauza sumu ya panya,mende,kunguni,viroboto,
Dawa ya mba,mapunye .....

Ofa bado inaendelea
Tunauza simu ya itel yenye facebook, whattsap, twitter na viber.
Na memory card unapewa bure...
 
Acha uzembe weka dusherere yako afu irudishe kwa mmiliki wake halali..
Ikibidi mfanye mchepuko mkuu
 
Back
Top Bottom