Sasa naingia CCM rasmi....nipokeeni

Sasa naingia CCM rasmi....nipokeeni

NAAMINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
672
Reaction score
235
Mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha Dar na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo uliowezesha kupanda kwa boom toka sh.5000 hadi 7500..baada ya tafakari ya muda mrefu sasa nimefanya maamuzi rasmi naomba macomrades wa CCM mnipokee na nipo tayari na kwa uaminifu kufanya kazi katika chama hichi ambacho naona bado kina leta tumaini kwa wananchi..vijana wenzangu karibuni huku ccm..naomba mni PM viongozi ili nijue nawezaje pata kadi ya ccm..ni mimi mchambuzi na mwanaharakati..naomba mnipokee ccm
 
Mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa
wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha Dar
na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni
mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo
uliowezesha kupanda kwa boom toka sh.5000
hadi 7500..baada ya tafakari ya muda mrefu sasa nimefanya maamuzi rasmi naomba macomrades
wa CCM mnipokee na nipo tayari na kwa uaminifu
kufanya kazi katika chama hichi ambacho naona
bado kina leta tumaini kwa wananchi..vijana
wenzangu karibuni huku ccm..naomba mni PM
viongozi ili nijue nawezaje pata kadi ya ccm..ni mimi mchambuzi na mwanaharakati..naomba
mnipokee ccm..
 
ccm hawataki wasomi,wanaharakati wala viongoz wa migomo wala maandamano kuu kwani wao maandamano ni haramu wanajua utawageuka sku moja,na sidhani kama watakuhitaji kamanda wangu! Hamia airtel but kama njaa imekukaba sana nenda kimaslahi ukichuma saana wabwege coz hawachelew kumwagia watu wanaharakati kama wewe tindikali,watakumaliza haraka!jitambue ndugu yangu!
 
Umechelewa sana zaidi utambulia kua mpiga kelele wa mitandaoni na kuambulia buku7, huo ukoo wa panya umejaza majina ya vigogo tu we nenda kalambe viatu vyao
 
magamba hayataki wasomi wala wanaharakati! Wataku tindikali na kukulisha sumu,nenda utanambia!
 
Mimi ni mwanaharakati na mchambuzi wa siasa wa siku nyingi tokea nikiwa chuo kikuu cha Dar na sijawahi kuwa na chama chochote cha siasa,ni mmoja kati ya watu waliosimamia ule mgomo uliowezesha kupanda kwa boom toka sh.5000 hadi 7500..baada ya tafakari ya muda mrefu sasa nimefanya maamuzi rasmi naomba macomrades wa CCM mnipokee na nipo tayari na kwa uaminifu kufanya kazi katika chama hichi ambacho naona bado kina leta tumaini kwa wananchi..vijana wenzangu karibuni huku ccm..naomba mni PM viongozi ili nijue nawezaje pata kadi ya ccm..ni mimi mchambuzi na mwanaharakati..naomba mnipokee ccm

Karibu sana Kiongozi, vijana wenye busara kama wewe ni hadimu sana zama hizi.
 
Mtu makini hufanya jambo kwa faida na sio kutafuta sifa zisizo na faida ambazo humpelekea kuonekana kikaragosi kwa wenye nazo.
 
Karibu sana,
Sisi m ni makini tupo vijana km ww ambao tunaona mbali hatukufikiria kutoka hata cku moja ila tunachojya ss ni kuiendeleza
Zipo changamoto ktk chama chetu lkn tunazo mbinu za mda mrefu na mfupi ktk kuzitatua
Kwetu ww ni km mwana mpotevu tunakukaribisha kwa shangwe zote
 
heshimu maono yako jipange kuwatumikia watu endapo utapata nafasi ya kuwatumikia watu.
 
Kadi ya CCM unataka pm jf ndo uipate...ndo aina ya vijana amabao Tanzania tunajivunia...vilaza wa kutupwa
 
bora hujaenda chadema chama kile ni mikosi mitupu.
 
Hongera sana comrad kwa maamuzi sahihi. (Sio ya kijuha kama ya kamati kuu ya mtei).
tembelea tawi lolote la ccm karibu na unapoishi upewe kadi yako ya uanachama au uliza ofisi za ccm kata au wilaya. Jisikie upo nyumbani
 
Back
Top Bottom