Sasa nahama CCM na kuhamia CHADEMA rasmi.

Sasa nahama CCM na kuhamia CHADEMA rasmi.

Welu

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
852
Reaction score
303
Baada ya CDM kuonyesha ukomavu wa kisiasa wa kuwafukuza wanachama wake pasi na kuogopa umaarufu wake,na kukiacha chama cha CCM kikitoa maagizo yasiyoambatana na vitendo (matishio au tishia nyau) Imedhihirika kuwa hiki chama chatakiwa kukabidhiwa dola na kinaweza fanya maamuzi magumu yanayo hitajiwa na wananchi. Watu wanaiba mali ya umma wanachekewa tu, mikataba mibovu inaingiwa na inakuwa ya siri sisi twacheka tu, tembo wanauwawa sisi tunaangalia tu, eti wauza unga tunawafahamu lakini kwa vile ni wenzetu tuna waangalia tu!Umeme unapanda sisi tuko na stori za Zitto tu. Katiba mpya kwa sasa si ajenda kwetu ila makala za CDM tu. Sasa nimetambua kumbe hakuna maisha bila CHADEMA hii nimedhihiri kuwa inasemwa sana kwa vile ndio uhai wa wananchi. SASA MIMI NA FAMILIA YANGUMAMBO YAKO CHADEMA.Nahitaji kadi.
 
labda ila sidhani kama kuna uhalisia kwa kinachofanyika
 
dont pretend. you welcome. hawa jamaa hamuonei haya mtu ata uwemaarufu vp? wakiamua unapigwa chini
 
ukiondoka ww, mamia ya wafuasi wa zito watahamia ccm muda c mrefu, hama humtishi yeyote!!!
 
Hongera kwa kujitambua na kuamua kuwa mzalendo wa kweli!
 
ukiondoka ww, mamia ya wafuasi wa zito watahamia ccm muda c mrefu, hama humtishi yeyote!!!

sasa c mhamie ccm kwanini mnang'ania kubaki chadema, tuacheni na chama chetu ili tuwashikishe adabu ccm
 
Chadema ni treni inayoelekea Kigoma , wapo watakaoshuka njiani na wengine watapanda, wenye lengo la kufika Kigoma wanaendelea na safari......
 
Nimegundua CCM na Chadema hakuna mwenye ahueni ni wababaishaji watupu,CCM inalinda mafisadi,Chadema mgogoro wao wenyewe wanashindwa kuutatua,je migogoro ya nchi watawezaje?
 
Nimegundua CCM na Chadema hakuna mwenye ahueni ni wababaishaji watupu,CCM inalinda mafisadi,Chadema mgogoro wao wenyewe wanashindwa kuutatua,je migogoro ya nchi watawezaje?

Chadema imeshindwa vipi wakati jamaa kakimbilia mahali kutatua mgogoro pamoja na kufukuza wasaliti.
 
Maamzi gani magumu unayoyataja? Maamzi ya kukisambaratisha Chama na kujenga ukaskazini na kung'ang'ania viongozi wenye Elimu ndogo na Duni kama ya Mbowe ndiyo maamzi magumu? Kutumia Ruzuku ya chama ovyo, Kupiga wanachama na kuwanyan'ganya kompyuta mpakato, Kuzunguka na Helcopta 3 kwa siku 14 zikitumia gharama kubwa wakati Ofisi za Wilaya na Mikoa zinashindwa kujiendesha hata karatasi ni za kuombeleza, haya ni maamzi magumu? Je yana tija gani kwa Watanzania? Kudai kuwa CDM inaviongozi wenye maamzi magumu siyo kweli. CHADEMA INA MAAMZI "MAGUGU" . Haina lolote lile. Zitto Oyeeeeeeeeee.
 
andersn shmb wewe utakuwa babk au ndgyo yeyote anakula nakulala ccm mbna unatetea uozo mawe chongaiwe
 
Huoni ufisadi wa Dj mbowe, Silaha ya kula mamilioni ya pesa za sabodo za visima. Kula rambirambi za marehemu Arusha na iringa pia wanalipana posho wao tu je? Viongozi wa mikoa na wilaya wanalipwa sh ngapi?
 
Ndio maana viroba havipigwi marufuku kwa staili hii tanzania tutaburuzwa sana nyie ndio wale mnaouza kadi zakupigia kura kipindi cha kampeni .
 
Back
Top Bottom