Sasa nahama CCM na kuhamia CHADEMA rasmi.

Sasa nahama CCM na kuhamia CHADEMA rasmi.

chadema imeshindwa vipi wakati jamaa kakimbilia mahali kutatua mgogoro pamoja na kufukuza wasaliti.
kama unamaanisha sawa kama unabeep itakugharimu hawa chadema wanataka mabadiliko sio mchezo.
 
Baada ya CDM kuonyesha ukomavu wa kisiasa wa kuwafukuza wanachama wake pasi na kuogopa umaarufu wake,na kukiacha chama cha CCM kikitoa maagizo yasiyoambatana na vitendo (matishio au tishia nyau) Imedhihirika kuwa hiki chama chatakiwa kukabidhiwa dola na kinaweza fanya maamuzi magumu yanayo hitajiwa na wananchi. Watu wanaiba mali ya umma wanachekewa tu, mikataba mibovu inaingiwa na inakuwa ya siri sisi twacheka tu, tembo wanauwawa sisi tunaangalia tu, eti wauza unga tunawafahamu lakini kwa vile ni wenzetu tuna waangalia tu!Umeme unapanda sisi tuko na stori za Zitto tu. Katiba mpya kwa sasa si ajenda kwetu ila makala za CDM tu. Sasa nimetambua kumbe hakuna maisha bila CHADEMA hii nimedhihiri kuwa inasemwa sana kwa vile ndio uhai wa wananchi. SASA MIMI NA FAMILIA YANGUMAMBO YAKO CHADEMA.Nahitaji kadi.

nipe contact zako kesho nikuletee
 
Acha unafiki wewe,hujawahi kuwa mwanachama wa Ccm ,sasa unasemaje unahamia Chadema?wewe hukuwa na chama maana hukuwa na kadi yoyote hivyo sema najiunga Chadema kama mwanachama mpya wa Chadema.
 
Maamzi gani magumu unayoyataja? Maamzi ya kukisambaratisha Chama na kujenga ukaskazini na kung'ang'ania viongozi wenye Elimu ndogo na Duni kama ya Mbowe ndiyo maamzi magumu? Kutumia Ruzuku ya chama ovyo, Kupiga wanachama na kuwanyan'ganya kompyuta mpakato, Kuzunguka na Helcopta 3 kwa siku 14 zikitumia gharama kubwa wakati Ofisi za Wilaya na Mikoa zinashindwa kujiendesha hata karatasi ni za kuombeleza, haya ni maamzi magumu? Je yana tija gani kwa Watanzania? Kudai kuwa CDM inaviongozi wenye maamzi magumu siyo kweli. CHADEMA INA MAAMZI "MAGUGU" . Haina lolote lile. Zitto Oyeeeeeeeeee.

Kama imekuuma kajitie KITANZI..PEOPLEEEE.....SSSSS§S.......POWER........M4C DAIMA..AAAAAAAAAAAA
 
kuhama chama mpaka utangaze JF HAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huoni ufisadi wa Dj mbowe, Silaha ya kula mamilioni ya pesa za sabodo za visima. Kula rambirambi za marehemu Arusha na iringa pia wanalipana posho wao tu je? Viongozi wa mikoa na wilaya wanalipwa sh ngapi?

Hayo ni maneno tu hata kwenye cake yapo.
 
Back
Top Bottom