Sasa naelekea kuamini uchawi upo

Sasa naelekea kuamini uchawi upo

Huko ndo unaenda kupotea kabisa yani nyakanyaka!, utatapeliwa, utaliwa fedha yako hovyohovyo utajifunza kuwa katika ulimwengu hakuna nguvu ya kiimani aidha kishetani au kimungu katika kufanikisha vitu vyako!, na utalijua hilo ukiwa umeshapoteza muda na fedha nyingi tu!..

Mapambano yanahitaji akili huku ukiwa unajua wapi pakukanyaga na wapi sio hakuna uchawi wala nguvu za kiungu zitakupeleka katika malengo yako.
 
Wakuu nimepambana sana, tafuta connection za maana.... Piga kazi kama kichaa, hakuna kuchagua kazi lakini wapi....

SASA kama nyie wachawi mpo, mjipange...... Maana naingia kijijini kurudi na dawa yenu. HAKUNA KUTIA HURUMA.
Shetani hawezi kujipinga Mwenywe.. Unakoenda Utapata Majanga zaidi.

Omba Mungu anayetoa bila Kipimo wala Masharti
 
Back
Top Bottom