Sasa naanza Kumuelewa Rais Museveni wa Uganda na nadhani na Waafrika wengine wajitahidi wamuelewe pia

Udikiteita wa nchi za Africa umesimikwa katika sura mbali mbali.Wawezwa kusimikwa kupitia katiba,iliyotengenezwa mahususi kusimika mfumo wa chama kimoja na kuweka vipengele vya sheria kwenye katiba kulinda mfumo huo.Kwa mfano Tanzania vifungu vya katiba vimeegemea kulinda mfumo chama kimoja .Kwa hivyo Tanzania tunaweza kumusakama Museveni eti ni dikiteita kwa kuwa amekaa madarakani muda murefu huku tunasahau kuwa katiba yetu inaruhusu chama kuwa na uongozi wa kulindana,kupeana madaraka ya uongozi kwa kupendeleana bila njia sahihi za demokrasia.Je twaweza kujiuliza UDIKITEITA NI MTU AU NI MFUMO?
 
Kuna baadhi ya Waafrika nadhani ama wanasumbuliwa na Ushamba au Ufinyu wa Kufikiri. Sioni tija ya Marais wanaokaa Madarakani kama wana uwezo mkubwa wa Kuongoza basi waondolewe tu kwakuwa wamekuwa Wazee. Waafrika wanatakiwa waangalie Uwezo wa Mtu katika Kuwaongoza na siyo Umri wake na isitoshe ukiwa Mzee na Rais ndiyo unakuwa na Uzoefu zaidi wa Kuwaongoza Wananchi wako kuliko wengine ambao bado wana safari ndefu ya Kujifunza namna ya Kuongoza / Kutawala

Wito wangu tu kama GENTAMYCINE naomba na Marais wengine ambao kiukweli kwa hapa Afrika Mashariki wanafanya vizuri katika Kuziongoza na kuziletea Maendeleo nchi zao kama Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli nao pia ikiwezekana Wananchi wa nchi zao wawaache tu waendelee Kuongoza / Kutawala hata kama wakiwa wanakaribia Uzee kwani mpaka hivi sasa kwa huu Ukanda wetu wa Afrika Mashariki sijaona Marais ambao nawakubali na nawapenda mno na natamani watawale nchi zao ikibidi hata Milele kama Rais Museveni, Rais Kagame na Rais Dkt. Magufuli.

Shikamoo sana na mno Rais Yoweri Kaguta Museveni.

Nawasilisha.
Waafrika ni wabinafsi sana na kamwe hatuwezi kuendelea.
Ukabila Bado upo Afrika na ndio unaowapa nguvu viongozi wabovu.
Kumlinganisha Muovu na muuji Kagame,Muovu na muuaji Museveni na Rais wetu wa Tanzania tuliyemchagua kwa ahadi nzuri nzuri na tamu chini ya sera za CCM japo ameziacha na kufuata za wapiga kelele wa upinzani ,; Ni makosa sana kuwalinganisha hata kuwataja katika sentensi moja ni dhambi.

Rais wa Tanzania ameingia kwa kupigiwa kura kidemokrasia tofauti na hao wa Vinchi vya hovyo hovyo walioingia adarakani kwa kuua wanadamu wenzao kwa maelfu kwa sababu ya tamaa zao za Mali na madaraka.

Sikatai Hata tukiwa na katiba inayomruhusu Mkapa kurudi kugombea na kuongoza nchi.

Sikatai kuondoa ukomo wa kuongoza nchi .
Ninachopinga kwa nguvu zote ni Kuendesha nchi kigaidi na kuua Demokrasia kwa kuiba kura ,kuua ,kuteka watu, kutumia wakurugenzi na vyombo vya dola kunyang'anya watu formu za kugombea ,kuwanyima fomu za kugombea wapinzani, kukamata mawakala wa vyama vingine ,kubadilisha kura na kutangaza aliyeshindwa kuwa ameshinda.
Huu ni ushetani mkubwa unaosabisha wanadamu wanaojua kuwa kuna Mungu muumba wa vitu vyote asiayependa dhulma, wapaze sauti kukataa watawala kukaa muda mrefu madarakani.
Mtu akishaonyesha hulka hizi ovu watu wanamuogopa kama ukoma.
Mimi binafsi na watu zaidi ya mil. 50 hawaishi kwa sababu ya Ndege wala Treni wala Stiglers wala Daraja.
Watu wanaishi kwa sababu Jua linachomoza ,hewa ya oksijeni IPO, maji yanatiririka kwenye ardhi ,mvua inanyesha na ardhi ipo na inachipusha mimea. Wengine wanakuja kuangalia na kujifunza tamaduni za wamasai.
Kifupi alivyoviumba Mungu ni lazima kwanza viheshimiwe ikiwemo uhai na utu wa mwanadamu ambao unalindwa kwenye Demokrasia ya kweli.
Kiongozi akisimamia haki ,utu,Uhuru ,amani kwa wote,usawa,umoja ,Demokrasia na kuilinda katiba na sheria tulizojiwekea na zilizompa mamlaka nitamuunga mkono hata akitawala milele mana atakua anawakilisha ufalme wa Mungu na sio ufalme wa giza.

Watalii wanaokuja Afrika wanakuja kuangalia vile alivyoviumba Mungu sio madaraja mana kwao yapo mazuri zaidi na walikuja Afrika pakiwa hakuna kitu chochote kilichotengenezwa na binadamu zaidi ya vile alivyoumba Mungu.

Kwa hiyo kwangu kiongozi bora ni yule anayethamini uhai na haki kwa watu wote mana haki na uhai ndiyo zawadi anayoitaka kila mtu.
Lakini kiongozi amayeweka makundi ya kigaidi kuangamiza binadamu Wonzake kama vile amewaumba yeye huyo ni kundi moja na shetani nitamkataa na kumlaani kwa Jina la Yesu na atashindwa na hatakumbukwa milele.
 
Mimi mwana Afrika Mashariki yoyote ambaye hawataki au hawaelewi hawa Marais wangu ' Wapendwa ' akina Museveni, Kagame na Magufuli huwa nahisi wanaweza wakawa na ' matatizo ' makubwa ' Vichwani ' mwao. Uganda, Rwanda na Tanzania zinaendelea vyema Kiuchumi na hadi Kimiundombinu huku Huduma bora za Kijamii zikiboreshwa kwakuwa zipo chini ya hawa Marais wangu ' Wapendwa ' Watatu ambao nawaombea ' Watawale ' hizo nchi zao hadi pale ama wakiwa Wazee kabisa au basi wakifia kabisa Madarakani.
atakae fia madarakani atakuwa ameachia mkosi mkubwa Ikulu ..

angalia Pale Tripoli
 
Kuna baadhi ya Waafrika nadhani ama wanasumbuliwa na Ushamba au Ufinyu wa Kufikiri. Sioni tija ya Marais wanaokaa Madarakani kama wana uwezo mkubwa wa Kuongoza basi waondolewe tu kwakuwa wamekuwa Wazee. Waafrika wanatakiwa waangalie Uwezo wa Mtu katika Kuwaongoza na siyo Umri wake na isitoshe ukiwa Mzee na Rais ndiyo unakuwa na Uzoefu zaidi wa Kuwaongoza Wananchi wako kuliko wengine ambao bado wana safari ndefu ya Kujifunza namna ya Kuongoza / Kutawala

Wito wangu tu kama GENTAMYCINE naomba na Marais wengine ambao kiukweli kwa hapa Afrika Mashariki wanafanya vizuri katika Kuziongoza na kuziletea Maendeleo nchi zao kama Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli nao pia ikiwezekana Wananchi wa nchi zao wawaache tu waendelee Kuongoza / Kutawala hata kama wakiwa wanakaribia Uzee kwani mpaka hivi sasa kwa huu Ukanda wetu wa Afrika Mashariki sijaona Marais ambao nawakubali na nawapenda mno na natamani watawale nchi zao ikibidi hata Milele kama Rais Museveni, Rais Kagame na Rais Dkt. Magufuli.

Shikamoo sana na mno Rais Yoweri Kaguta Museveni.

Nawasilisha.
Kama kawaida yako unawasilisha pumba...kama unawapenda hao wachukue ukanywe nao chai. Nchi haifati mahaba ya mtu kwa watuwake.
Viswali vidogo tuu
1. Je,unauhakika gani hakuna mwenye/wenye uwezo kuwazidi?
2. Kabla wao kupata nafasi ulijua watajaribu kiasi hicho kilichokukuna wewe haswa mpaka huambiliki unaona waafrika wote wajinga?
 
Kuna baadhi ya Waafrika nadhani ama wanasumbuliwa na Ushamba au Ufinyu wa Kufikiri. Sioni tija ya Marais wanaokaa Madarakani kama wana uwezo mkubwa wa Kuongoza basi waondolewe tu kwakuwa wamekuwa Wazee. Waafrika wanatakiwa waangalie Uwezo wa Mtu katika Kuwaongoza na siyo Umri wake na isitoshe ukiwa Mzee na Rais ndiyo unakuwa na Uzoefu zaidi wa Kuwaongoza Wananchi wako kuliko wengine ambao bado wana safari ndefu ya Kujifunza namna ya Kuongoza / Kutawala

Wito wangu tu kama GENTAMYCINE naomba na Marais wengine ambao kiukweli kwa hapa Afrika Mashariki wanafanya vizuri katika Kuziongoza na kuziletea Maendeleo nchi zao kama Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli nao pia ikiwezekana Wananchi wa nchi zao wawaache tu waendelee Kuongoza / Kutawala hata kama wakiwa wanakaribia Uzee kwani mpaka hivi sasa kwa huu Ukanda wetu wa Afrika Mashariki sijaona Marais ambao nawakubali na nawapenda mno na natamani watawale nchi zao ikibidi hata Milele kama Rais Museveni, Rais Kagame na Rais Dkt. Magufuli.

Shikamoo sana na mno Rais Yoweri Kaguta Museveni.

Nawasilisha.
Tumekusikia binti.
 
Museveni na Kagame ni wanajeshi na majenerali, wameingia madarakani kwa mtutu wa bunduki. Utawala wao ni wa kijeshijeshi. Wenyewe wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu hawawezi kuishi hata siku moja bila madaraka ya uraisi. Hivyo wanatafuta uraisi wa maisha. Tanzania ina mfumo wazi wa ukomo wa uraisi na ndiyo sababu tuna maraisi wastaafu. Kwa nini unamlinganisha Raisi Magufuli na watawala kama hao?
 
Kuna baadhi ya Waafrika nadhani ama wanasumbuliwa na Ushamba au Ufinyu wa Kufikiri. Sioni tija ya Marais wanaokaa Madarakani kama wana uwezo mkubwa wa Kuongoza basi waondolewe tu kwakuwa wamekuwa Wazee. Waafrika wanatakiwa waangalie Uwezo wa Mtu katika Kuwaongoza na siyo Umri wake na isitoshe ukiwa Mzee na Rais ndiyo unakuwa na Uzoefu zaidi wa Kuwaongoza Wananchi wako kuliko wengine ambao bado wana safari ndefu ya Kujifunza namna ya Kuongoza / Kutawala

Wito wangu tu kama GENTAMYCINE naomba na Marais wengine ambao kiukweli kwa hapa Afrika Mashariki wanafanya vizuri katika Kuziongoza na kuziletea Maendeleo nchi zao kama Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli nao pia ikiwezekana Wananchi wa nchi zao wawaache tu waendelee Kuongoza / Kutawala hata kama wakiwa wanakaribia Uzee kwani mpaka hivi sasa kwa huu Ukanda wetu wa Afrika Mashariki sijaona Marais ambao nawakubali na nawapenda mno na natamani watawale nchi zao ikibidi hata Milele kama Rais Museveni, Rais Kagame na Rais Dkt. Magufuli.

Shikamoo sana na mno Rais Yoweri Kaguta Museveni.

Nawasilisha.
Sishangai wewe kupongeza viongozi ambao ni jamii yako!.
 
Mimi mwana Afrika Mashariki yoyote ambaye hawataki au hawaelewi hawa Marais wangu ' Wapendwa ' akina Museveni, Kagame na Magufuli huwa nahisi wanaweza wakawa na ' matatizo ' makubwa ' Vichwani ' mwao. Uganda, Rwanda na Tanzania zinaendelea vyema Kiuchumi na hadi Kimiundombinu huku Huduma bora za Kijamii zikiboreshwa kwakuwa zipo chini ya hawa Marais wangu ' Wapendwa ' Watatu ambao nawaombea ' Watawale ' hizo nchi zao hadi pale ama wakiwa Wazee kabisa au basi wakifia kabisa Madarakani.
aiseee yani East Africa nzima binadamu wenye akili ni watatu tu hahaha wallah this is a dark continent khaaaaa!!!
 
Kwa africa mapendekezo yako hayatufai, elewa kuwa rais wa nchi za africa anapoingia ikilu ni kundi tu la watu wake ndio ufurahia uwepo wake waliosalia uingia kwenye umasikini kwa sababu ya kuwepo kwake kwahiyo kukaa tunabadirisha usaidia kundi jingine kuliko kuendelea na kundi lilelile.Je unadhan ni watu wangapi wanafurahia na uwepo wake rais JPM na je ni wangapi wanachukia?
 
Kuna baadhi ya Waafrika nadhani ama wanasumbuliwa na Ushamba au Ufinyu wa Kufikiri. Sioni tija ya Marais wanaokaa Madarakani kama wana uwezo mkubwa wa Kuongoza basi waondolewe tu kwakuwa wamekuwa Wazee. Waafrika wanatakiwa waangalie Uwezo wa Mtu katika Kuwaongoza na siyo Umri wake na isitoshe ukiwa Mzee na Rais ndiyo unakuwa na Uzoefu zaidi wa Kuwaongoza Wananchi wako kuliko wengine ambao bado wana safari ndefu ya Kujifunza namna ya Kuongoza / Kutawala

Wito wangu tu kama GENTAMYCINE naomba na Marais wengine ambao kiukweli kwa hapa Afrika Mashariki wanafanya vizuri katika Kuziongoza na kuziletea Maendeleo nchi zao kama Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli nao pia ikiwezekana Wananchi wa nchi zao wawaache tu waendelee Kuongoza / Kutawala hata kama wakiwa wanakaribia Uzee kwani mpaka hivi sasa kwa huu Ukanda wetu wa Afrika Mashariki sijaona Marais ambao nawakubali na nawapenda mno na natamani watawale nchi zao ikibidi hata Milele kama Rais Museveni, Rais Kagame na Rais Dkt. Magufuli.

Shikamoo sana na mno Rais Yoweri Kaguta Museveni.

Nawasilisha.
Nikweli hata mm ningependa iwe hivyo ila tukiruhusu hivyo vita itanukia hivyo tusimamie katiba only.
 
Gentamycin umeona mbali Sana, Kama wachina walivo ona mbali na kumfanya xi kua raisi wa kudumu baada ya kujiridhisha pasi na Shaka kua raisi wao ni bora Sana. Maraisi hao watatu wa Kanda hii kwa matendo yao inaonekana wana very high IQ hivo wanatufaa Sana na ni adimu. Mimi binafsi natamani Sana Magufuli aendelee kua raisi Hadi atakapochoka
Najua hoja ya kupinga hilo ipo kwenye katiba na mfumo mzima wa demokrasia ambao umesukwa na mfumo wa kidunia, mfumo ambao nchi za kiafrica hazinufaiki kiuchumi Bali huzifanya ziwe tegemezi kwa nchi zilizokwisha endelea. Hivyo Basi kwa mtazamo wangu nibora tujadili namna ya kumlinda raisi kikatiba na kidemokrasia anaye tufaa bila kuvuruga mfumo wa kidunia kwani naamini kwa kufanya hivo tutapunguza uwezekano wa kupata raisi kibaraka, fisadi,mwenye IQ ndogo na asiemzalendo
 
Kuna baadhi ya Waafrika nadhani ama wanasumbuliwa na Ushamba au Ufinyu wa Kufikiri. Sioni tija ya Marais wanaokaa Madarakani kama wana uwezo mkubwa wa Kuongoza basi waondolewe tu kwakuwa wamekuwa Wazee. Waafrika wanatakiwa waangalie Uwezo wa Mtu katika Kuwaongoza na siyo Umri wake na isitoshe ukiwa Mzee na Rais ndiyo unakuwa na Uzoefu zaidi wa Kuwaongoza Wananchi wako kuliko wengine ambao bado wana safari ndefu ya Kujifunza namna ya Kuongoza / Kutawala

Wito wangu tu kama GENTAMYCINE naomba na Marais wengine ambao kiukweli kwa hapa Afrika Mashariki wanafanya vizuri katika Kuziongoza na kuziletea Maendeleo nchi zao kama Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli nao pia ikiwezekana Wananchi wa nchi zao wawaache tu waendelee Kuongoza / Kutawala hata kama wakiwa wanakaribia Uzee kwani mpaka hivi sasa kwa huu Ukanda wetu wa Afrika Mashariki sijaona Marais ambao nawakubali na nawapenda mno na natamani watawale nchi zao ikibidi hata Milele kama Rais Museveni, Rais Kagame na Rais Dkt. Magufuli.

Shikamoo sana na mno Rais Yoweri Kaguta Museveni.

Nawasilisha.
 
unazidi kupoteza ubora wako,
yani mu7 na mbu kagame unawaona vingozi bora bro,,
Aise naenda kulala labda nta sahau mada yako,,
 
Back
Top Bottom