Tukiruhusu wamachinga katikati ya mji wote wa Mwanza...kweli itakuwa 'egoli'.Mji wote wa Johannesburg nchini AK ulijengwa na dhahabu ya nchi hiyo, hivyo sasa tumeanza ukurasa mpya nimesikia makao makuu ya Kampuni yetu ya Dhahabu ya Twiga yatakuwa Mwanza City, hivyo hiyo ndiyo ,,Egoli“ yetu, kazi ni kwetu tu sasa, ...
Egoli, AK, Mji wote wa Johannesburg ulijengwa na Dhahabu, Mwanza yetu sasa wakati wake umewajia.
View attachment 1333815
A city can not stay alone without peopleLeave our city alone wewe mwenye wivu
Chato iwe Dubai kwanza, hayo mengine baadaye.
Ndo hivyo ishakuwa head office.... Nakukumbusha hii ni kampuni ya madini nyingine kuweka head office huko.... Nyingine ni hiiTwiga itakuwa Mwanza kwa jina tu. Kutakuwa na ofisi zitakazoitwa ofisi ndogo ya DSM pale Bagamoyo Road au Masaki au Msasani au Oysterbay. Na zitakazokuwa practically head ofisi halafu ya Mwanza itakuwa practically representative office.
So mwanza has got few people... Are you kiddingA city can not stay alone without people
Sandvik nao wana head office huko... Nadhani wawekezaji ndo wanaona huko panafaa.Ile soko la dhahabu mngepeleka Mwanza ingekuwa inachngia zaidi kuijenga Mwanza kuliko kuwaza makao makuu ya kampuni moja ya dhahabu.
Hata kama wakijenga Mwanza kama watakuwa na ofisi ndogo Dar, hiyo ofisi ndogo inatumika zaidi kuliko hiyo ya Mwanza
Ukirudi nyumbani mwisho wa Mwaka kutumia hivyo vi laki 5 kunakuwa na impact gani? Anyways kila mtu huwa anarudi nyumbani! Hata mimi nipo nyumbani likizo!uzuri wageni tutajaa hapo alafu kila mwisho wa mwaka tunarudi zetu nyumbani
Wapeleke HQ kule ili wewe na wenzio wa chato mkanywee pombe ya kienyeji kule.Barrick wajiulize sana! Kwa nini wanafanya maamuzi bila kuuliza kwanza?
Mji wa kimkakati ni Chato, kwa nini wasifungulie HQ yao kule maana na kiwanja cha kussfirishia dhahabu directly to Toronto kipo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sandvik wa muda mrefu huko,Sandvik nao wana head office huko... Nadhani wawekezaji ndo wanaona huko panafaa.
Mawazo mazuri sanaMji wote wa Johannesburg nchini AK ulijengwa na dhahabu ya nchi hiyo, hivyo sasa tumeanza ukurasa mpya nimesikia makao makuu ya Kampuni yetu ya Dhahabu ya Twiga yatakuwa Mwanza City, hivyo hiyo ndiyo ,,Egoli“ yetu, kazi ni kwetu tu sasa, ...
Egoli, AK, Mji wote wa Johannesburg ulijengwa na Dhahabu, Mwanza yetu sasa wakati wake umewajia.
View attachment 1333815
Sio sana.... Na hii inaonyesha ni mji wenye potential.Sandvik wa muda mrefu huko,
Ushamba ni nini?
Ni mji muhimu sana lakini watu hawajawekeza vya kutosha huko kuendana shughuli za madini zinazofanyika ukanda wa kanda ya ziwaSio sana.... Na hii inaonyesha ni mji wenye potential.
Uwekezaji wa namna gani labdaNi mji muhimu sana lakini watu hawajawekeza vya kutosha huko kuendana shughuli za madini zinazofanyika ukanda wa kanda ya ziwa
Hasa wa viwanda ambavyo vingeweza kusupply vitu kwenye migodi yote mikubwa na midogo!Uwekezaji wa namna gani labda
Mwanza ni kijijini?Kwanini wapeleke kijijini?
Migodi ipo kahama na geita mkuu.... Mwanza ni ofisi na soko la kuuza madini.Hasa wa viwanda ambavyo vingeweza kusupply vitu kwenye migodi yote mikubwa na midogo!