Mji wote wa Johannesburg nchini AK ulijengwa na dhahabu ya nchi hiyo, hivyo sasa tumeanza ukurasa mpya nimesikia makao makuu ya Kampuni yetu ya Dhahabu ya Twiga yatakuwa Mwanza City, hivyo hiyo ndiyo ,,Egoli“ yetu, kazi ni kwetu tu sasa, ...
Egoli, AK, Mji wote wa Johannesburg ulijengwa na Dhahabu, Mwanza yetu sasa wakati wake umewajia.
View attachment 1333815
Tukianza huu upuuzi wa "Mwanza yetu" tutafika pabaya sana! Mmekataa madini yasiuzwe nje ya huko, sasa kila MTU akisema tuwe na cha kwetu mtaigawa nchi nyie mburula
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaota dogo, chini ya ccm hii?Mji wote wa Johannesburg nchini AK ulijengwa na dhahabu ya nchi hiyo, hivyo sasa tumeanza ukurasa mpya nimesikia makao makuu ya Kampuni yetu ya Dhahabu ya Twiga yatakuwa Mwanza City, hivyo hiyo ndiyo ,,Egoli“ yetu, kazi ni kwetu tu sasa, ...
Egoli, AK, Mji wote wa Johannesburg ulijengwa na Dhahabu, Mwanza yetu sasa wakati wake umewajia.
View attachment 1333815
Ipo?Mji wote wa Johannesburg nchini AK ulijengwa na dhahabu ya nchi hiyo, hivyo sasa tumeanza ukurasa mpya nimesikia makao makuu ya Kampuni yetu ya Dhahabu ya Twiga yatakuwa Mwanza City, hivyo hiyo ndiyo ,,Egoli“ yetu, kazi ni kwetu tu sasa, ...
Egoli, AK, Mji wote wa Johannesburg ulijengwa na Dhahabu, Mwanza yetu sasa wakati wake umewajia.
View attachment 1333815
Ukisikia KUCHAMBA KWINGI ndio ukuMji wote wa Johannesburg nchini AK ulijengwa na dhahabu ya nchi hiyo, hivyo sasa tumeanza ukurasa mpya nimesikia makao makuu ya Kampuni yetu ya Dhahabu ya Twiga yatakuwa Mwanza City, hivyo hiyo ndiyo ,,Egoli“ yetu, kazi ni kwetu tu sasa, ...
Egoli, AK, Mji wote wa Johannesburg ulijengwa na Dhahabu, Mwanza yetu sasa wakati wake umewajia.
View attachment 1333815
Kigoma ujiji ndio Dubai kwa mujibu wa Zitto!Chato iwe Dubai kwanza, hayo mengine baadaye.
Zitto hana mtoto wa dada yake Wizara ya fedha ni ngumu Dubai kujengwa KigomaKigoma ujiji ndio Dubai kwa mujibu wa Zitto!
Acha uboya ushakua MTU mzima; yaani kwenye hizo pumba zako niambie ni wapi umeandika haya unayonijibu sasa hivi? Hebu kuwa na aibu kidogoUna matatizo wewe siyo bure, mimi kila Mkoa ni wetu, Iringa yetu, Rufiji yetu, Mbeya yetu, Arusha yetu, Tanga yetu, Moro yetu, Singida yetu, Kigoma yetu, Ruvuma yetu, Lindi yetu, ... sasa sijui wewe umetafsiri vipi, mimi siko huko mliko, mimi Tanzania yote ni yetu.
Leave our city alone wewe mwenye wivuKwanini wapeleke kijijini?
Kajipe elimu kwanza
Twiga itakuwa Mwanza kwa jina tu. Kutakuwa na ofisi zitakazoitwa ofisi ndogo ya DSM pale Bagamoyo Road au Masaki au Msasani au Oysterbay. Na zitakazokuwa practically head ofisi halafu ya Mwanza itakuwa practically representative office.Mji wote wa Johannesburg nchini AK ulijengwa na dhahabu ya nchi hiyo, hivyo sasa tumeanza ukurasa mpya nimesikia makao makuu ya Kampuni yetu ya Dhahabu ya Twiga yatakuwa Mwanza City, hivyo hiyo ndiyo ,,Egoli“ yetu, kazi ni kwetu tu sasa, ...
Egoli, AK, Mji wote wa Johannesburg ulijengwa na Dhahabu, Mwanza yetu sasa wakati wake umewajia.
View attachment 1333815