Sasa mbona ananisumbua?

Siwez Mana na huko keshazaa pia so atakuja kunizonga tu..
Kama huwezi its okey, ila kama ungeweza nisinge kushangaa.

But he is a man all men Makes mistakes.
Hata hawa wana jf wanao jifanya wana muita kwa lugha kali nao wana makosa yao pia so ni kwaida
 
Kama huwezi its okey, ila kama ungeweza nisinge kushangaa.

But he is a man all men Makes mistakes.
Hata hawa wana jf wanao jifanya wana muita kwa lugha kali nao wana makosa yao pia so ni kwaida
Sawa
 
Kama huna mpango naye, ushauri unautaka wa nini?
 
Katika maelezo yako umesema baada ka kukutelekeza alipata mwanamke mwingine akamwoa . Hujatuambia walidumu muda gani na kwanini nae aliachwa mpaka kutaka kurudiana na wewe tena baada ya kuona umefanikiwa kimaisha . Mungu anavyojua kuadhibu rudiana nae utapoteza vyote ulivyotafuta baada ya kukuacha . Mpaka kuja kuomba ushauri humu JF . Unaonekana una kisebusebu na kiroho papo .
 
Nahc hajamuacha bado ila kuna siku aliniambia yuko tyr kumuacha nikikubali kurudiana nae..
 
Kwanza hujitambui afu huna msimamo unashindwa kuwaza uliyotendewa na future yako ya sasa unaanza kuwaza kurudiana na MTU aliyekuona hufai huna dhamani Leo anakuona unamaisha mazur anataka kuja kukuharibia afu asepe, huyo mtoto umemzaa ww na ww na ndiye wakumkontrol kuhusu atakaye kuoa atamuua hayo ni matishio tuu na nikuambie ukingia mkenge katika hili lazima uje tena jamii forum kuomba ushaur kua sa iv unataman ardhi ipasuke uingie, yan mwanaume alikua hakutak toka mwanzo ukalazimisha ukaolewa akakutesa vyakutosha had talaka had ndugu zake wakawa wanakuzarau Leo unamaisha mazur anakutaka mrudiane mlee mtoto ,tumia akili wanaume hawajaisha tulia utapata pumziko la moyo na maisha yako, lazima ujitambue na cyo kua kama kuku, unamchinja mwenzao na wanaona, ukimwaga pumba wanakuja unakamata unachinja tena, embu tumia akili
 
Tatizo linakuja kwa mtoto babaake anaenda kumtia maneno na mm niko mbali so maneno yanamuingia mpk anaanza kunichukia
Huyo mtoto miaka yote alimuona babake akimsaidia nini labda, ongea na mwanao umueleweshe na huyo mwanaume anazidi kukuumiza kupitia mwanao na wewe unakubali tuu
 
Huyo sio wa kubadilika, hawezi mjaza mtoto sumu ili amchukie mama yake halafu useme amebadilika. Kuna mbinu nyingi za kutumia ili kurudiana na mtalaka wake sio lazima kutumia kigezo cha mtoto. Huyo janaume ni Bashite tuu
 
Hebu mwambie mwaya, anaanzaje kwanza???
 
Niliona alishaniharibia yeyote mwengne acngeniamn
Duu hi Kali wangap walikua machangudoa wanaume waliokua nao idad haijulikan we unakazana ulishakula tunda lazima unioe, kwan mwanaume anangalia tunda wife material, usizungumzie hillo tena mana ulilazimisha penz ukasota sa iv mungu kakuonekania naona umekumbuka mateso nenda utuletee mtejesho
 
Yaan eti anaomba ushauri kuhusu hili swala? hivi una akili kweli wewe?

kama unampenda Shauri yako kwa yatakayokupata...utajijua mwenyewe...mimi nilidhani una akili japo kidogo kumbe majanga tu??

Kwani ukimpa huyo mtoto wewe utakuwaje? kama ni mtoto mpe ila kama anataka kutumia gia ya mtoto mrudiane Shauri yako kwa lolote.....


Achana naye,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…