no retreat no surrender.....songa mbele na maisha yako ....fanya kama ilikuwa story iv halafu kitabu kikaungua moto ko hakuna kumbukumbu zilizobaki kickwan mwako...ila nyie wanawake amuelewekaki utakuta si tunabwabwaja hapa mara kesho umerudiana nae...kazi kwako sasa!!!! kwa maumivu hayo usirudi nyuma
UMENIWAHI MKUU bila kumung'unya maneno mtu huyo ni muuaji kwako ukimrudia haki ya Mungu anakuua kama si kukufirisi mali zako...hana kingine anachokihitaji kwako zaidi ya mali zako...kuhusu mtoto mwambie amfuate baba ake wewe si ndio uliye mzaa kwanini mtoto wako akushinde maarifa...?