Sasa mbona ananisumbua?

kuua awez kama huamin njoo uolewe na mm kama atathubutu kukusumbua
all in all angalia maisha yako huyo anakutaka nw coz una mali na mkirudiana kuna kila dalili akazitumbu ovyo mali zako na mkarudi mlipotoka
move on learn from your mistake
 
kuua awez kama huamin njoo uolewe na mm kama atathubutu kukusumbua
all in all angalia maisha yako huyo anakutaka nw coz una mali na mkirudiana kuna kila dalili akazitumbu ovyo mali zako na mkarudi mlipotoka
move on learn from your mistake
Ahsante sana
 
Hamna mume hapo. Mwache mtoto achague kuishi na wewe au aende kwa baba yake na sio yeye akupe masharti ya nini cha kufanya
 
After all that anakuja na vitisho? Usidanganywe ukarudi, utajutia. Move on na mwanao, Mungu atawalinda
 
Anhaaaaaa, hongera naona nawe nimzoefu katika hili.
 
Ahsante kwa kunisaidia mm nilimaliza chuo na nilisoma web programming and graphics designing ila nilifeli kutokana na kutoshughulikia masomo, ninaongea English fasaha na ninaijua vizur sana computer..
Pole
 
Chimbuko la matatizo yote ni wewe mwenyewe kulazimisha ndoa kwa mtu asiyekutaka kwa kigezo cha eti 'alishakula tunda'....pole

Huyo mwanaume tangu mwanZo hakuwahi kukufaa...usitarajie atakufaa sasa hivi
Genius dude
 
ila dada yote aliyokufanyia huyo mwanaume kweli una hamu ata ya kuja kumwanzishia thread uombe ushauri ww bado unampenda huyo jamaa kazi kwako
Mkuu huyu hajitambui kwan muda wote huo huyoo bwana hakuwa anajua kiumbe kinahtaji matunzo... daaah kweli kibatari hukumbukwa wakati wa kiza.....
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hapo sasa
 
Siwez kurud mkuu tatizo mtt nitakaa hivi mpk ln na yy hataki niolewe na mwanaume mwengne nampenda sana mwanangu
Mwache akakae kwa baba ake Siku yakimkuta ya kumkuta huko atarudi..stage uliyofikia na mambo uliyoyapitia kwasababu ya huyo mtu anayejiita mwanamme hupaswai kutumia moyo na hisia kutatua matatizo bali tumia akili sana..alikuacha kwny hali mbaya sana kinachomrudisha saiv ni nini..?? Move on with your life ma dia.!!
 
Mmmh dada kuna vitu wakati wa kuchuja sio lazima utumie chekecheo.
 
Ahsante
 
Ndoa yenu mlifunga kwa imani ya dini ipi?

Nikupe ushauri wa kiimani utakaomzuia yeye kuishi nawewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…