Chinga boy
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 412
- 103
Sina raha ya maisha,kila week end pressure,sitembei kivua mbele kama wengine,hata ile t shirt naona Aibu kuivaa.Mbona wanasiasa wanahama vyama,Ndoa zinavunjika na maisha yanasonga mbele,Wacheza soka wanahama timu na bado wanakuwa na furaha,Wademu wakali na wenye pesa wanaachwa .Kuanzia sasa ARSENAL tupa kule naelekea ETIHAD
wewe hujitambui ndio maana unahama timu.
Arsenal daima. Ni kipindi cha mpito tu hiki
Kitaisha lini?
wewe hujitambui ndio maana unahama timu.
Arsenal daima. Ni kipindi cha mpito tu hiki
Morinho hamna kitu, aliiharibu Real Madrid, cheki sasa hivi inavyopeta, hao Chelsea ndo wamefikia mwisho kuongoza, point tatu hizo anazipoteza muda wowote mtashangaa
Aaaa wap kipind cha mpito tangu 2004? Miaka 10 bado mpito tu
chelsea alikaa miaka 50 bila kuchukua premier sembuse arsenal miaka 10 tu. TULIENI Arsenal inarudi na mtaitamani.
Ndio manager aliyechukua UCL kupitia clubs 3 tofauti ndio aliyeibua Chelsea from zero, hao Madrid pia kawapa ubingwa, hajafungwa na Wenger bado,ndie alie haribu sherehe za ubingwa Liverpool mwaka huu na kumfanya Suarez kulia kwa uchungu Mkuu, kumbe bingwa hapendwi juz kapoteza dunia nzima imeshangilia hapo ndo ujue watu hawapendi mafanikio yake.
Bigup the special one
Ha ha ha kupitia Wenger ntasubiri saaaana, ss miaka 50 tuliathiriwa na kutokuwa na MTU kama abramovic na kocha mwenye kariba ya special one
Sawa ngoja tusubili ila usiwe umri wa MTU mzima, emiret ni Sanchez,podosk, na welbeck wengine si sanana sisi tutafanya mabadiliko yatakayoleta furaha emirates muda sio mrefu. SUBIRI