Sasa huku jamani mapepo yatatoka?

Sasa huku jamani mapepo yatatoka?

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,506
Reaction score
18,872
1798805_womanatm_jpeg09f78e300bf098e76a7e50d5bad65e2b.jpg
 
Pesa zitaongezeka




[QUOTEhaha=kabanga;11048708]
1798805_womanatm_jpeg09f78e300bf098e76a7e50d5bad65e2b.jpg
[/QUOTE]
 
Kwa hapo hata akizikiri uchi hazitoki na hayo mapepo ndo yatazidi kumtia uchizii
 
Amefanya muamala /Transaction pesa haijatoka sasa hajui chakufanya.
 
Asa hapo anafanya nini me naona anajichelewesha kuchukua pesa labda anambie anataka zitoke kwa miujiza
 
Asa hapo anafanya nini me naona anajichelewesha kuchukua pesa labda anambie anataka zitoke kwa miujiza

kadi imemezwa sasa anafikiri shetani....
 
Zinatoka.... Imani yaweza hamisha milima
 
kadi imemezwa sasa anafikiri shetani....

kabanga;
Usiwe ka hao wasio na roho ya huruma. Imagine; ametokea hospitali, mtoto kalazwa ghafla. Mr. ndo alimtupa siku tele. Tangu ametoka home hajanywa hata uji. Saa zimeenda, na watoto wengine tangu warudi shule mlango umefungwa.
Kwa sababu zisizotabirika, kadi imemezwa. Saa za kazi zimekwisha saa nyingi. Atarudije home? Ataupata wapi msaada hata wa msamaria mwema kumpa nauli? Mji shule, kila mbuzi hula usawa wa kamba. Nani anamjali mwenzake?
Naamini, kwa kuwa alijua Mungu hajamwacha, hata kama kadi haikutoka, lakini kulitokea muujiza na si ajabu weye uliyempiga picha alipokuelezea masahibu yake, ulimsaidia. Huo ndo muujiza. Popote ulipo, Mungu amesema; Niite nami nitakuitikia, nitakuonesha mambo makubwa, magumu usiyo yajua.
Nasema; Lazima Mungu alimsikia. Si kila ombi ni kutoa pepo, mengine ni kuita miujiza itokee hima. Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom