Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Rais wa nchi moja ya afrika akija na wazo la United States of Africa mimi nitakuwa wa kwanza kuipigania Tanzania iwe ni jimbo mojawapo.Akili zenu wakati mwingine sijui huwa zinawaza nin?Kwahiyo Tanzania kulingana ukubwa na Texas ndio kigezo kuwa mgawanyo wa majimbo haufai?Aisee,umewaza nini?
Mbona hujiulizi kwanini DSM ni mkoa na una wilaya ambapo ndani ya saa 1 unaweza kuzunguka wilaya zote kwa gari?
Kama issue ni ukubwa,mbona israel ni nchi ndogo sana lakini ina uchumi mkubwa kuliko mataifa mengi yenye maeneo makubwa?
Mbona haujilizi nchi mbona ndogo lakini ina wabunge zaidi ya 300?
Sio hizi akili za kuivunja nchi ambayo kwa udogo wake ilipaswa kujitazama katika fikra za umoja.
Ni rahisi kudhani kuwa majimbo yataleta uwajibikaji kwa wananchi lakini rahisi pia kusahau kuwa siasa za kujitambulisha na majimbo hayo zitakwenda kuua utaifa wetu.