Philipo Kidwanga
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 2,042
- 603
wapumbavu tu ha waliozingirwa na njaa kali,nona kama wanaekti kitu lakini wanaekti kibazazibazazi sana.
Pale kwa mwenye kaya???
Halafu wengi mbona watoto wadogo na vijana wadogo (though siku hizi hakuna mtoto au kijana mdogo)
Maana hata kama ni kuigiza mambo wanayoyafanya na watoto hayaendi kabisa
nahisi wanatokea pale msoga bila shaka
- :yo:
Ngoma inogile, au?
![]()
Hao ndio wazuri mkuu, hawajala bado "matango pori" mengi.