mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 6,499
- 18,166
Raha ya ushindi ni kufurahi pamoja na waliokuunga mkono katika kuupata ushindi.
Kunakuwa na vibe au hype fulani hivi ya kipekee pale unapokula kiapo , nyomi la raia wakishangilia kwa furaha na bashasha. Inapendeza sana .tena ukute wewe ni wa kipekee kulingana na jinsia yako...
Inapendeza sana kuona trump au biden walipokula kiapo wakishangiliwa na raia .. huwa inampa hata mshindi ujasiri fulani hivi.. ila sasa huko malawi ya kaskazini hali kidogo ni tofauti.. mshindi akiapishwa kwenye viwanja vya......
Anyway kuna muda sulemani alikuwa sahihi aliposema kila kitu chini ya jua ni ubatili mtupu na kujilisha upepo .