Nina tune radio yangu, ninashituka kuipata hii radio. Ni kipindi cha michezo cha saa tatu usiku. Ni around 90's Mhz. Wapenzi wa hii radio Iringa, wakati ni wenu.
Wanyalu karibuni kwenye dunia ya utandawazi kwenye habari,burudani,etc.....nia kuongeza wigo wenu na upeo hasa wa kufikiria......na uwezo kunyambua mambo!! Kupata maamuzi sahihi na kusonga mbele
Nyela Ndauli! yaani mnashangilia hiyo radio ya WAFU FM kupatikana huko Iringa! yaani ni bora nkaendelea kuongeza mashamba ya VITINDI kuliko kuisikiliza hiyo radio ya M>A>C>H>O>K>O