Saruji kutoka nje inaruhusiwa?

Greg50

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
1,953
2,431
Habari wakuu,

Naomba kujua kama serikali inaruhusu uingizaji wa saruji kutoka nje.
 
Zamani ilikua inaruhusiwa sijui kama bado inaruhusiwa. Ila huko Mara ukikamatwa na nacement ya Kenya kama Bamburi utajuta...
 
Zamani ilikuwa unakuja CEMENT kutoka Pakistan pamoja na falme za kiarabu ilikuwa inauzwa Bei nafuu Sana Kama unavyojua toka magufuri na serikali yake waingie madarakani biashara huria zimekufa Kama ilivyo sukari nk.
Habari wakuu,

Naomba kujua kama serikali inaruhusu uingizaji wa saruji kutoka nje.
 
Back
Top Bottom