Sare mpya mei-mosi

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,351
Changamkia fursa ya sare mpya za meimosi
tshirt.JPG
 
Mwaka huu tunabana matumizi kila MTU atavaa sare aliyokuwa anavaa akiwa Shule ya msingi.Hakuna kuchezea kodi za walala hoi masikini wa tanzania
Kwani sare za vyama vya wafanyakazi kama CWT, TUGE nk hununuliwa kwa kutumia pesa za serikali?
 
Mwaka huu tunabana matumizi kila MTU atavaa sare aliyokuwa anavaa akiwa Shule ya msingi.Hakuna kuchezea kodi za walala hoi masikini wa tanzania
Kwani sare ni kodi ya MTU?? Ni mwanachama wa chama chochote cha wafanyakazi???
 
Back
Top Bottom