umenikumbusha miaka ile ya 80's nilikuwa nikipitia sehemu hiyo kwa sana nikielekea mwisho wa reli, tulikuwa tukipanda basi la siri yako mpaka Dodoma halafu unaunganisha na reli pamoja na kitu kodogo unamkatia TT mpaka Tabora hapo unakata kitu kidogo chengine ndio unapata second class mpaka mwisho wa reli,
Hata mto Malagarasi siwezi kuusahau usisahau chumvi ukipita Uvinza hiyo ilikuwa zawadi kubwa kupeleka bara