SARANDA kuku warefu

SARANDA kuku warefu

Duduwasha

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
5,701
Reaction score
3,664
577423_423824224366466_865307310_n.jpg


Hapa wenye kwa wale wasafiri wa Treni ya kati hawawezi kupasahau kuna Kuku wenye mapaja marefu kuliko maelezo
 
sijuwi wanawatowa wapi hawaadimiki kuku wale hata ukipita saa nane usiku kuku wapo
wafugaji wa kuku waende Saranda kujifunza namna ya kufuga kuku
 
umenikumbusha miaka ile ya 80's nilikuwa nikipitia sehemu hiyo kwa sana nikielekea mwisho wa reli, tulikuwa tukipanda basi la siri yako mpaka Dodoma halafu unaunganisha na reli pamoja na kitu kodogo unamkatia TT mpaka Tabora hapo unakata kitu kidogo chengine ndio unapata second class mpaka mwisho wa reli,
Hata mto Malagarasi siwezi kuusahau usisahau chumvi ukipita Uvinza hiyo ilikuwa zawadi kubwa kupeleka bara
 
Back
Top Bottom