Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,610
- 46,254
1.Dollar ya Marekani: 58% ya hifadhi ya akiba ya fedha yote ya kigeni kwa nchi mbalimbali duniani iko katika USD.
2.Euro ya Umoja wa Ulaya(EU): 20%.
3.Deutsche mark ya Ujerumani: 6%.
4.Yen ya Japan: 5.5%.
5.Pound Sterling ya UK: 4.7%.
6.Yuan ya China: 2.7%.
7.Dola ya Canada:2.3%.
8.Franc ya Ufaransa: 2%.
9.Dola ya Australia:1.8%.
10.Franc ya Uswis: 0.2%.
Utajiuliza kwa nini nchi iweke akiba ya fedha za kigeni
Nchi hutunza fedha za kigeni kwa ajili ya kufanikisha manunuzi ya bidhaa na huduma nje ya nchi kwa raia binafsi, makampuni na serikali yenyewe.
Pia hutumika kama nyenzo ya kuongeza au kushusha thamani ya sarafu ya nchi husika pale inapohitajika.
Nini kinasababisha sarafu ya nchi fulani kupendelewa kuwekwa katika hifadhi
Jambo la kwanza ni kutoyumba sana kwa sarafu husika, sarafu isiyobadilika basilica thamani yake dhidi ya sarafu nyingine inaleta confidence, inaweza kutunzwa muda mrefu bila muhusika kuhofia hasara.
Jambo la pili ni urahisi wa kuibadilisha kwenda sarafu nyingine kwa haraka.