Sarafu za shilingi mia tano bado zipo?

Sarafu za shilingi mia tano bado zipo?

Huyo jamaa haelewi sakata la coins za 500.

Hizi coins zimetengenezwa kwa madini ambayo wajanja wa town wamegundua wakiziyeyusha wanatengenezea mikufu, hereni n.k.
hizi ni porojo kama za popobawa nani katumia mia tano kutengeneza chain ingekuwa hnyo wangeaza kuziiba wafanyakazi wa bank kuu nenda bank kuu then sema nataka coin za mia tano tano ata ukitaka za 100,000,000 trust me watakupatia
 
sasa inakuwaje jelo za noti ziendelee kutengenezwa mpya wakati za coin ambazo ndio mbadala wake zipo??
katika fedha iliyo ktk mzunguko mkubwa kuliko fedha zote ni sh 500 na ktk fedha ambayo nyingi zimechakaa kutokana na kuzunguka ktk mikono ya watu mbalimbali ni sh 500 ndo maana wakaja na wazo la kutengeneza coin za sh 500 coz zenyewe ndo zipo kwenye mzunguko sana
 
mkuu ukiwa nayo hiyo tayari ni dhili kubwa sana.ile coin moja inauwezo wa kutengeneza hela kuanzia 2500 hadi 5000.je ukiwa nazo za thamani ya 100000 utakuwa na faida ya sh .ngapi
 
katika fedha iliyo ktk mzunguko mkubwa kuliko fedha zote ni sh 500 na ktk fedha ambayo nyingi zimechakaa kutokana na kuzunguka ktk mikono ya watu mbalimbali ni sh 500 ndo maana wakaja na wazo la kutengeneza coin za sh 500 coz zenyewe ndo zipo kwenye mzunguko sana

so,unataka kusema mkuu apart from serikali kufaham jelo za noti ndio zinazozunguka mikononi mwa wananchi zaid, na uimara wake ni mdogo, still bado wanaendelea tu kuzichapisha???
 
hizi ni porojo kama za popobawa nani katumia mia tano kutengeneza chain ingekuwa hnyo wangeaza kuziiba wafanyakazi wa bank kuu nenda bank kuu then sema nataka coin za mia tano tano ata ukitaka za 100,000,000 trust me watakupatia

Ni kweli hizo jero zishakuwa dili babu. Ila ukikamatwa unafanya hiyo biashara ni lock up
 
MAENEO YA KARIAKOO HIZI SARAFU ZINAUZWA...

IMEGUNDULIKA MATERIAL YA SARAFU HII YANA THAMANI KULIKO SARAFU YENYEWE...

ZINAUZWA KUANZIA 1500/- MPAKA 5000/- single Coin.

JEWELLERY WANAZITUMIA KUTENGENEZEA PETE NA MIKUFU YA THAMANI..... NA HIVYO KUKUZA KIPATO NA MTAJI WAO.
 
Last edited by a moderator:

mkuu hozo ni porojo tu ingekuwa hvyo wa kwanza kuzifanyia biashara ni wafanyakaz wa mabank mm nakwambia k2 ninachokijua c kukielewa 2
 
Watu tunauza coins za 500 kwa 10,000,hii biashara siachi inalipa sana, kama bado hujashtukia dili umechelewa!
 
mkuu hozo ni porojo tu ingekuwa hvyo wa kwanza kuzifanyia biashara ni wafanyakaz wa mabank mm nakwambia k2 ninachokijua c kukielewa 2

Kwahiyo mimi nilimuuzia jini??? maana niliuza 3 coins kwa kwa 5000/- tsh

au basi tufanye niliyemuuzia kaenda kuzifanyia kazi tofauti na jewellery.
 
MAENEO YA KARIAKOO HIZI SARAFU ZINAUZWA...

IMEGUNDULIKA MATERIAL YA SARAFU HII YANA THAMANI KULIKO SARAFU YENYEWE...

ZINAUZWA KUANZIA 1500/- MPAKA 5000/- single Coin.

JEWELLERY WANAZITUMIA KUTENGENEZEA PETE NA MIKUFU YA THAMANI..... NA HIVYO KUKUZA KIPATO NA MTAJI WAO.

dahh!", basi serikali imekula kwao
 
Last edited by a moderator:
so,unataka kusema mkuu apart from serikali kufaham jelo za noti ndio zinazozunguka mikononi mwa wananchi zaid, na uimara wake ni mdogo, still bado wanaendelea tu kuzichapisha???

kumbuka tanzania ndo nchi pekee ambayo kwenye mzunguko wake wa fedha kuna aina mbili ya fedha znazunguka kwenye mzunguko na zote zina thamani sawa yani pesa za kpnd cha mkapa na fedha zilizotengenezwa kipnd cha kikwete so kuhusu kuendelea kuztengeneza mia tano za noti nadhan mkuu wa idara ya fedha BOT anaweza kukupa jibu zuri kwa nn mia tano ya not na coin zpo kwenye mzunguko pamoja
 
NAsikia zinatumika kutengenezea vidani vya fedha. Hivyo ni biashara. Sijui kama kuna ukweli ndani yake.
 
dahh!", basi serikali imekula kwao

nomaa... hii biashara huwezi kutafuta mteje wa kumuuzia ukampata.... mara nyingi wao wakikuona na hizo sarafu ndio wanakuomba muuziane...

normally Makonda wa daladala ndio huwa agents... ndio maana hizi sarafu zinapungua kwenye circulation
 
hizi ni porojo kama za popobawa nani katumia mia tano kutengeneza chain ingekuwa hnyo wangeaza kuziiba wafanyakazi wa bank kuu nenda bank kuu then sema nataka coin za mia tano tano ata ukitaka za 100,000,000 trust me watakupatia

Embu kajaribu uone kama watakua nazo. Halafu uache ubishi mi mwenyewe nishaziuza za kutosha ila am nt sure kama bado ni deal.
 
Back
Top Bottom