Sarafu za shilingi mia tano bado zipo?

Sarafu za shilingi mia tano bado zipo?

Maswali ninayojiuliza;

1.Mbona zimeadimika katika mzunguko wa pesa ghafla?.

2.Au BOT wameacha kuzitengeneza?

V-5fn7Y5I76AlONeZwcSB15ZKM1pbzuUeHIcHCH01UvC_O4JEApeIP4af0vmRIqJxMjgi-WWpM2lUdVvZLikjDp3oePr3o614RyXxtEkSJ9Bcw4=w330-h170-nc

Wiki iliyopita afisa mmoja wa BOT, eti alisema kuwa zipo nyingi sana bank kuu, ila mabanki ya biashara wakienda kuchukua pesa hizo coins hawazitaki!!! kweli hii ni sababu ya maana?? au ya kitoto?? nadhani watakuwa wameona kuwa walibugi sasa kukwepa aibu ndio wanakuja na sababu ya kitoto kama hii!!
 
so mkuu nawe unahisi BoT wamesitisha uagizaji wa hizo coin baada ya kugundua walibugi kuzitengeneza?
 
Wiki iliyopita afisa mmoja wa BOT, eti alisema kuwa zipo nyingi sana bank kuu, ila mabanki ya biashara wakienda kuchukua pesa hizo coins hawazitaki!!! kweli hii ni sababu ya maana?? au ya kitoto?? nadhani watakuwa wameona kuwa walibugi sasa kukwepa aibu ndio wanakuja na sababu ya kitoto kama hii!!
gharama za usafirishaji wa hizi coin ni kubwa compare na za noti kumbuka mabank mengi huwa yanakodi magari ya kampuni za ulinzi ktk ushafirisha fedha zao coin ni nzito then ukiangalia thamani ya fedha yenyewe ni ndogo compare na uzito wake then zinachukua big space for storage ukilinganisha na noti
 
gharama za usafirishaji wa hizi coin ni kubwa compare na za noti kumbuka mabank mengi huwa yanakodi magari ya kampuni za ulinzi ktk ushafirisha fedha zao coin ni nzito then ukiangalia thamani ya fedha yenyewe ni ndogo compare na uzito wake then it take big space for storage ukilinganisha na noti

Kwa nini iwe kwa coin za jelo tu, na isiwe hivyo kwa coins za hamsini, mia aumia mbili mkuu??.
 
Coin za miatano tu ndio nzito? Vipi kuhusu hizi za 50, 100 na 200?
 
kumbuka hamsini na mia nyingi zinatumika kama chenji na wateja wakubwa wa coin ktk mabank ni wale wanaouza chenji so uchukue mia tano za coin ambazo ni nzito uache za noti ambazo ni nyepesi mkuu na ni nyepesi kusafilisha compire na coin za mia tano
 
Huyo jamaa haelewi sakata la coins za 500.

Hizi coins zimetengenezwa kwa madini ambayo wajanja wa town wamegundua wakiziyeyusha wanatengenezea mikufu, hereni n.k.
 
gharama za usafirishaji wa hizi coin ni kubwa compare na za noti kumbuka mabank mengi huwa yanakodi magari ya kampuni za ulinzi ktk ushafirisha fedha zao coin ni nzito then ukiangalia thamani ya fedha yenyewe ni ndogo compare na uzito wake then zinachukua big space for storage ukilinganisha na noti
Heeee!! hiyo nayo ni sababu?? mbona kabla ya habari ya kuwa zinayeyushwa mtaani, hajitoka zilikuwa zinapatikana?? je wakati huo hazikuwa nzito?? na je coins za 100,na 200 sio nzito? mbona zenyewe mabank wanazibeba. inawezekana vipi pesa za BOT, haya mabank ya biashara yakatae tu na wao wakubali kirahisi, wangesema sasa note za 500,hatuna anayetaka lazima achukue hizi coins, je hayo mabank yangekataa?? wakati wanazihitaji?? haya ndio tunahaita majibu mepesi kwenye maswali magumu. Amini zitakapotoka tena zitakuwa na muonekano tofauti, wao wamebugi hawataki kukubali hilo.
 
mkuu hivi hata kama ni wewe unakwenda bank kuu unaambiwa wakupe sh 1000,000 lakini za mia tano tano utachagua za coin au noti? kuwa mkweli kutoka moyoni utachagua zipi? kumbuka 100 na 50 hazina mbadala lakini mia tano kuna mbadala zipo za noti na coin
 
kumbuka hamsini na mia nyingi zinatumika kama chenji na wateja wakubwa wa coin ktk mabank ni wale wanaouza chenji so uchukue mia tano za coin ambazo ni nzito uache za noti ambazo ni nyepesi mkuu na ni nyepesi kusafilisha compire na coin za mia tano

sasa inakuwaje jelo za noti ziendelee kutengenezwa mpya wakati za coin ambazo ndio mbadala wake zipo??
 
Back
Top Bottom