white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,882
hapa ninachokataa ni kuwa eti coins za 500,zimekosekana ktk mzunguko kisa commercial banks, hazizikubali toka BOT!!! kweli hii ni logic, kwa hiyo hizi za note zinapochakaa watakwenda kughalamika kuchapisha nyingine na huku hizi za coins zimejaa bank kuu kisa hazitakiwi na mabank ya biashara?? kwanini wasiwambie ni lazima uchukue nusu kwa nusu??! kusiwe na option. Hiyo sababu haijitosherezi, na baada ya muda mfupi utakuja kujua ni nini tunazungumzia. it is the matter of tyme.