Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,385 Reaction score 68,490 Jun 22, 2016 #21 Mbimbinho said: Si wangetengeneza sarafu ya shilingi 50 ili kuleta uhalisia zaidi??? Click to expand... cc: Benno Ndulu
Mbimbinho said: Si wangetengeneza sarafu ya shilingi 50 ili kuleta uhalisia zaidi??? Click to expand... cc: Benno Ndulu
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,252 Jun 22, 2016 #22 Mussolin5 said: Hiyo sarafu haiingizwi kwenye Mzunguko. Inabaki kwenye kumbukumbu zao katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi. Click to expand... Umeniwai nilitaka toa jibu kama ilo. Jamani bado hatujafika level ya Zimbabwe maana kuna mpaka noti ya millioni
Mussolin5 said: Hiyo sarafu haiingizwi kwenye Mzunguko. Inabaki kwenye kumbukumbu zao katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi. Click to expand... Umeniwai nilitaka toa jibu kama ilo. Jamani bado hatujafika level ya Zimbabwe maana kuna mpaka noti ya millioni
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,379 Reaction score 13,198 Jun 23, 2016 #23 C merengo90 said: Viroba tena man Click to expand... calmed down mkuu