Sarafu mpya ya Sh.50,000

kabla hamjaposti muwe mnauliza kwanza mambo mengine,hii ilitoka muda mrefu kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru,
 
Hii ilitolewa maalum kwaajili maadhimisho ya miaka 50 ya mapinduzi, na ilikuwa kwa idadi maalum


GIUSEPPE;
Afwadhali umeurudisha moyo wangu. Nilipasukwa moyo; Pwaa! Nkasema, kule kijijini kwetu, nnani ataipokea? Kidogokidogo hakika mamlaka kamili wataipata.
 
Mpya? nimeshaitumia mbona kitambo!! and then huwa na kikopo chake kama kile cha kuwekea medali yani juu kioo chini kama mkebe umefunikwa na kitambaa laini, Mtoa Mada Umepata Viroba Vingapi?

ila kuna mtu nilishawahi kumuambia ipo aliacha kuongea na mimi ati mimi ni Muongo Sana... nikamuambia mimi huwa sidanganyi ndio akazidi kukasirika
 

Teh teh teh mtumie picha yaishe
 
Viroba tena man
 
Hiyo sarafu haiingizwi kwenye Mzunguko. Inabaki kwenye kumbukumbu zao katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi.

Si wangetengeneza sarafu ya shilingi 50 ili kuleta uhalisia zaidi???
 
Harafu hiyo unampa konda,umepanda msimbaz washuka muhimbili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…