war boi lupa
Member
- Mar 6, 2018
- 73
- 112
Nilishawahi kusoma thread moja humu JF jamaa alikuw anazungumzia kuhusu watu kujifunza softwares mbali mbali na kati moja aliyoigusia n SAP.Ckuishia kusoma tu nlienda kuitafuta niijue na kutafuta namna ya kusoma coz mm n mmj wa wanafunzi wanosoma LOGISTICS.
Sasa SAP soon inaingia Tanzania km co imeshaingia. Wakuu hii ni fursa kwa waliojifunza na watakaoweza kujifunza na ndani ya cku hizi za karibu.
Tumieni fursa hiyo jaman na km yule jamaa anaeza toa info zaidi atoe watu wapate namna ya kujifunza na wanaoijua hiyo SAP pia huu ndio mda wa kujipatia fursa ya kufundisha pia
Thanks...