Sio ukweli ingawa sina ushahidi nje ya bibliaMkumbuke waisrael walivuka bahari kwa miguu coz maji yalikua yamekupwa..
Naomba ulete huo ushahidi Wa kibiblia nami nitaleta ushahidi Wa kibiblia na kuonyesha maji yalikupwa..Sio ukweli ingawa sina ushahidi nje ya biblia
Naomba ulete huo ushahidi Wa kibiblia nami nitaleta ushahidi Wa kibiblia na kuonyesha maji yalikupwa..
Kuna kitu watu hua hawaelewi ni jinsi ilivyokua katika kuandika vitabu ambavyo Leo vinajumuisha kitabu kimoja cha Biblia. Soma jinsi kitabu kimoja kimoja kilivyoandikwa na dhima ya yaliyomo utagundua Vinci ambavyo hufamu kuhusu bibliaKupwa maji ni kupasuka bahari pande mbili?
Kuna kitu watu hua hawaelewi ni jinsi ilivyokua katika kuandika vitabu ambavyo Leo vinajumuisha kitabu kimoja cha Biblia. Soma jinsi kitabu kimoja kimoja kilivyoandikwa na dhima ya yaliyomo utagundua Vinci ambavyo hufamu kuhusu biblia
Genius!!!!!Mkuu mtoa mada ninaheshimu sana mambo ya imani ya mtu lakini naomba kukiri kila mada za aina hii zikija huwa najiuliza hivi tungeweka mkazo ktk kujua historia ya kina Mwanamalunde, Mansa Mussa, Shaka Zulu na tukawaenzi kama watu wetu mashujaa na vizazi vikafundishwa kuwaimba na kuwatukuza
Mpaka leo najiuliza imekuwaje mu Israel kafanya historia yake iwe kubwa duniani na hapa hoja isiwe ni Taifa teule
Kujua kila jamii na historia zao si mbaya lkn Wa Africa tumeitupa historia yetu na watu wetu mashuhuri, ‘poor us’
Najua nipo nje ya mada, I’m sorry
Mkuu mtoa mada ninaheshimu sana mambo ya imani ya mtu lakini naomba kukiri kila mada za aina hii zikija huwa najiuliza hivi tungeweka mkazo ktk kujua historia ya kina Mwanamalunde, Mansa Mussa, Shaka Zulu na tukawaenzi kama watu wetu mashujaa na vizazi vikafundishwa kuwaimba na kuwatukuza
Mpaka leo najiuliza imekuwaje mu Israel kafanya historia yake iwe kubwa duniani na hapa hoja isiwe ni Taifa teule
Kujua kila jamii na historia zao si mbaya lkn Wa Africa tumeitupa historia yetu na watu wetu mashuhuri, ‘poor us’
Najua nipo nje ya mada, I’m sorry
Thanks nimeongeza kitu katika reserve store ya bulangata yangu.....kwa jinsi ilivyo ni wazi kabisa sanduku husika lilitoweshwa...swali je lilitoweshwa na naniSalute Comrades..
Nitaelezea kwa ufupi kwa mujibu navyofahamu mimi..
Mkuu Kashi sanduku la agano ni sanduku lililotengezwa kwa mbao likiwa limenakshiwa kwa dhahabu safi lilitumiwa na wana wa Israel, ndani ya sanduku la agano kulikua na mawe mawili yaliyoandikwa Amri kumi za Mungu alizopewa babu yetu Musa pale mlima Sinai (kama sijakosea),kulikua na Fimbo ya Aaron (Haruni) ambayo ni fimbo ya kichungaji pia kulikua na chungu kilichokua kimewekwa Manna chakula ambacho Mungu aliwalisha Wana Wa Israel jangwani (soma Waebrania 9:4)
Mkuu Kashi
sanduku la agano halipo tena kati ya Waisraeli. Tangu nyakati za kuanguka kwa jiji la Yerusalemu na kuangamizwa kwa hekalu, na hatimaye kuchukuliwa kwa Waisraeli na kupelekwa utumwani Babeli mwaka 587 K.K.; kulikuwa ni chanzo cha kupotea kwa sanduku la agano. Na wakati hekalu la pili linajengwa baada ya utumwa wa Babeli mnamo mwaka 537-515 K.K.; sanduku la agano lilikuwa lilishapotea miaka mingi iliyopita. Na hakuna sanduku jipya lililotengenezwa.
Hivyo manabii waliwaasa watu kuwa wasijitaabishe kwa kulihangaikia sanduku la kihistoria lililoaminika kuwa ni kiti cha enzi cha Mungu. Na wasijisumbue kutengeneza sanduku jingine kwani Yerusalemu mpya itakuwa ndiyo kiti cha enzi cha Mungu. Yer.3:16-17 “kisha itakuwa mtakapoongezeka na kuwa wengi katika nchi hiyo asema Bwana, siku zile hawatasema tena, ‘sanduku la Bwana’ wala halitaingia moyoni wala hawatalikumbuka, wala hawatalizuru, wala hayatafanyika hayo tena. Wakati ule watauita Yerusalemu kiti cha enzi cha Bwana.”
Kwa vile hakuna anayejua sanduku la agano liliko, yanayosikika sasa ni masimulizi yasiyo na uhakika. Maana baadhi ya watu wanasema kuwa sanduku la agano lilifichwa na nabii Eliya ambaye alilifukia ardhini mlimani Karmeli. Na wengine wanasema sanduku la agano lipo nchini Ethiopia.
BTW tusubiri michango ya wenzetu.
Astelia
Salute Comrades..

Halijulikani lilipo wala aliyelitowesha kama nilivyoelezea hapo juuThanks nimeongeza kitu katika reserve store ya bulangata yangu.....kwa jinsi ilivyo ni wazi kabisa sanduku husika lilitoweshwa...swali je lilitoweshwa na nani
Hilo sanduku kumbe ni la kichawi, vitu vyote hivoSalute Comrades..