Sanaa ya sculpture

Vyote hivi asili yake ni Africa lakini wametupoka vyote na kuvigeuza vya kwao.. Tukapewa elimu tegemezi tusahau vyetu🥵
Elimu ya kukariri zaidi, inayotufanya tuwe ombaomba, huku wao wakizidi kuja kuchota rasilimali zetu na ustadi wetu na kuupeleka kwao, hakika inabidi Afrika iamke kwenye usingizi mzito iliyopo hivi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…