Sanaa ya kuingiza kichwa cha shaft (Pinion Gear Head)

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,675
Reaction score
14,054
Katika magari ya zamani...hasa ISUZU TXD 50 ilikuwa ina shida sana kwa upande wa Diff..sasa kulikuwa na utaalam wa kusanifu matengenezo na utaratibu wa 'pinion'...katika yote hayo baada ya matengenezo sharti kichwa cha shaft kiweze kulengwa kwenye tundule pasi na kuvunja meno ya sahani kuu yenye meno...si mchezo....hatua ya kwanza shaft inasimamishwa,,,,,, hatua ya pili sahani yenye tundu hulazwa ......halafu bila kukosea shaft yapenya na kuingia kwenye tundu...sema AMEN,
 
SIdhani kama wino unaotumika kuandika maandishi humu ungekuwa unaisha ungethubutu kumaliza wino kwa mtindo huu.
 
Umenikumbusha wimbo wa sunday school zamaani.....
'Upendo wa Mungu ni mkuuu
unashinda vitu vyoteeee(sijui nini na nini)
Bahari na iwe winoo
Mbingu ziwe karatasi
Na miti iwe kalamuu
Kila mtu awe mwandishii
Kwa kuandikaa pendo hiloo
Wino unge e kwishaa
 
Back
Top Bottom