Sanaa ya kifo

rip binti uliyejinyonga uko mahali salama sasa mengine yote waachie ambao hawajafia ulipofikia
 

Hii picha inaniumiza sana kila ninapoiona, ila leo imeniumiza zaidi. Kwa bahati mbaya leo nimeiona huku nikiwa siko sawa kabisa, kuna vitu vinanisumbua sana kuviwaza ili nipate ufumbuzi.
Hii picha imezidi niharibia siku yangu. Imeniharibia sana, I wish ningemuona huyu mtu aliyefanya huyu mama akalala usingizi huu wa milele na kumuacha kipenzi chake, rafiki yake, mwanawe mpenzi.
Nisingejali ni mtu wa namna gani, ningemwadhibu kwa kiasi kilekile alichomwadhibu mtoto huyu kwa kumuondolea tumaini lake, mama yake mpenzi. Kwanini maisha yana nafasi ya wengine kuteseka hivi?

Ova
 
I can sense the vibrations in your tone...nakuombea upate wepesi ASAP
 
Sanaa ya kifo ni kitu cha ajabu mno ! wazungu kuna usemi maarufu wanapenda kuutumia unasema the night has a story to tell
Mazingira ya kifo cha binti aliyekinyonga bar hayaleti picha ya mtu aliyeamua kutoa uhai wake
Najaribu tu kuwaza kwa sauti
-ujumbe wa madeni na wadeni aliouacha
-ujumbe wa kusema ni uamuzi wake mwenyewe na usihusishwe na yoyote yule
-picha hazionyeshi hari za kifo cha surphocation
Tu assume kama ameuawa
-muuaji aliwaza nini?
-alimrubunije?
-zile dakika za mwisho zilikuwaje?
-yuko wapi kwa sasa?
-anajisikiaje?
 
Duuuh kathread kengne tena haka katanifanya nikeshe, lakini mkuu mshana jr, hv wew unajitofautisha vp na sisi tusioyafahamu haya mambo?
Na unajiskiaje vile wew unafahamu mengi afu sisi hatufahamu?
 
kweli elimu haina mwisho.......huishi kinishangaza mshana!!!! Eeh hilo la kifo bado najaribu kuchanganya na akili yangu nijue nimeelewaje!!
 
Duuuh kathread kengne tena haka katanifanya nikeshe, lakini mkuu mshana jr, hv wew unajitofautisha vp na sisi tusioyafahamu haya mambo?
Na unajiskiaje vile wew unafahamu mengi afu sisi hatufahamu?
Hatuna tofauti kabisa.
 
je basi yafaa kusema; pumzika mahala ulipopachagua ulipokuwa duniani? Badala pumzika kwa amani?
Nani aanze kufikirisha akili na uoga amuachie nani! Maana kuruhusu uoga ni chanzo cha kutofikirisha akili...
 
Kwenye biblia kuna MTU alikufa yesu akamfufua na watu wakaenda kumuuliza yule MTU akajibu yeye alikua hajui chochote ni kama alikua kwenye usingizi usio na ndoto
Kwenye Bible ukisoma na kutafsiri mstari mmoja tuu utapotoka...ukisoma hii mada kwa utulivu utagundua kuwa kuna vifo vya aina nyingi...
 
Hatoweza kuwa huru huyo muuaji...atajificha lakini nafsi itamsuta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…