Dah hizi X zako zimenikumbusha kitu kule Facebook... Anyway sijaxoma popote xjahadithiwa.. Ni maarifa binafsi... Ushahidi ni makala yenyewe pamoja nani mwenyeweDuuh xawa bhana mkuu lkn ni umexoma mahali, umehadithiwa, ni utafiti au kuna ushahidi wowote?
Anzisha chuo cha saikolojiaSawa my psycho doctor... Tiba yake ni ipi sasa!?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Atatoa tu. Mbona kuna vyuo vya kupika uji sembuse chuo chako cha saikolojia?Mzee baba akitoa kibali niko tayari
Hahaha i doubt[emoji144] [emoji144] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pengine nitakufa
Hahaha kuna mzushi anasema mmecheza naye chandim lakini yeye sasa ana miaka almost karne moja kasoro 10 lakini wewe mhmm, anasema that guy doesn't age. Unatisha au ndio mambo ya miracle cure!?[emoji144] [emoji144] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pengine nitakufa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni nani huyo!?Hahaha kuna mzushi anasema mmecheza naye chandim lakini yeye sasa ana miaka almost karne moja kasoro 10 lakini wewe mhmm, anasema that guy doesn't age. Unatisha au ndio mambo ya miracle cure!?
Hahaha naye anakuogopa mkuu, anasema long time anakuhisi eti we gagula, namwambia mshikaji anatupa ma story ya mbingu ya saba, anacheeeka sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni nani huyo!?