Sanaa ya Hina

Sanaa ya Hina

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
In Kathmandu, a Festival for Women - Arts Lifestyle

600babccae4c653d992c90aaf728b159
 
Hzo zilzokolea sio aisee. For me lakin
 
wa kwanza kushoto hana pete,wa pili pete kidole kati, wa tatu pete, wa nne pete shahada,wa tano pete, wa sita pete mbili, wa saba na nane hakuna pete!
 
hinna nikipaka kwenye kucha zinapasuka kucha zangu sijui kwa nini
 
Ni jambo la aibu kulizungumzia lakini inabidi tulianike ili wezi hawa wajipime waangalie kama wanamtumikia Mungu au wanaitumikia dunia. imekuwa ni kawaida ya wanachuo wa CBE kwenda msikiti ulio jirani na chuo na kujifanya wanajisomea kumbe wanaangalia muumini gani kaingia na nini.. nazumngumzia upande wa akina mama kwani wanaibiwa mabegi yao pamoja na kila kilichomo ndani. labda ningewashauri tu wezi hawa kuwa wanapoiba mabegi hayo warejeshe kadi muhimu kama za benki, bima ya afya na nyinginezo na waziache hapo msikitini ili Imamu awatangazie waumini kuokotwa kwa kadi hizo..nazungumza hivi kwani yamenisibu
 
Enzi za mwalimu wanawake walikuwa wanajipamba kama hivi, lakini siku hizi wanachukua kemikali za kusafishia sakafu wanapaka usoni. Tabu tupu!

huku juu kichwani wakichombeza na mabutu au twende kilioni na magauni ya marinda marinda. Utandawazi huu!
 
Back
Top Bottom