SureAnatakiwa mwandishi wa habari makini muda na kipindi hiki anapoumwa akamuulize "hivi ni kweli kuna wabunge wa bunge la katiba walipiga kura wakiwa hija?
Tunaweza kupata jibu zuri sana.
Diana Sitta baba yako anaumwa omba watz wamuombee afya yake inedhoofu wewe unadanganya ili iweje?
Kwani hiyo katiba ni biblia au masahafu kwamba kosa alofanya hatosamehewa Na Muumba...usipomsamehe wewe wenzio tushamsamehe Kwa Muhanga alojitolea cku za nyuma kuruhusu mijadala ambayo ilipelekea hata huo ufahamu ulokuwa nao juu ya Bunge Na madhaifu ya serikali.....Mungu amjaaliw Afya apone mapema mzee wetuKosa lile la kuchafua katiba yetu sijui kama nitakuja kumsamehe, labda akiwa kaburini ndiyo naweza kumsamehe
Unafikiri ataishi milele? Hata iweje ataonja tu! Sijasema kwa ubaya ila kweli amekula vya kutosha! Sasa wataka hadi awe anaanikwa juani....? Heri akapumzike mapemaUtatangulia utamuacha ukimwi ajali ya gari vyote vipi nyuma yako
ninyi wazushi someni habari hiyo hapo juu ya Diana sitta acheni kulopoka
Uzuri nawe UTAKUFA tu. Haijalishi unajenga hoja vipi, UTAKUFA tu!Unafikiri ataishi milele? Hata iweje ataonja tu! Sijasema kwa ubaya ila kweli amekula vya kutosha! Sasa wataka hadi awe anaanikwa juani....? Heri akapumzike mapema
Alishiriki sana kuichakachua katiba.Bila aibu mzee aliona achumie tumbo.Historia itamhukumu.Jamani humu ndani jf hukuna huruma, Mzee anaumwa yapaswa kumfariji kwani kaleta mapinduzi kwny bunge letu.Mungu ampe maisha marefu.