Samweli Chamulomo augua Bungeni ghafla na kufariki

Samweli Chamulomo augua Bungeni ghafla na kufariki

kelao

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
8,132
Reaction score
5,808
Ni mtangazaji wa TBC. Spika wa bunge katangaza asubuhi wakati bunge linaanza. R. I. P mtangazaji.



=====================
Pumnzika kwa amani Mpendwa.

attachment.php
 
Mbona mie sijaona?au star tv wameruka hicho kipengele?nipo luningani kunako saa 3, kwaheri mtangazaji na pole kwa famil
 
Poleni sana wana familia Mungu amlaze mahali pema.Pia Mungu ipe Serekali roho ya huruma iweze kuendeleza pale alipoachia kwa manufaa ya familia yake.
 
Mbona mie sijaona?au star tv wameruka hicho kipengele?

Kwa mujibu wa mh. Spika Anna Makinda, Marehemu Chamulomo aliugua ghafla wakati akiwa kazini bungeni jana jioni na alikimbizwa zahanati ya bunge ambapo saa 23:00 za usiku aliaga dunia. wabuge walisimama kwa dk 1kumkumbuka marehemu S. Chamulomo
 
Poleni sana wafiwa wote wekeni hata picha yake.
 
Back
Top Bottom