Samwel Sitta: Sina muda wa kulumbana na UKAWA

Picha inadhihirisha kuwa hapo ni wananchi ambao ni wananchama wa CCM. Hivyo sijaona logic ya kusema kahutubia wananchi wa urambo bali ungelisema ni wanachama wa CCM urambo.

MBUNGE wa Jimbo la Urambo Mashariki Samwel Sitta, amepokelewa kwa kishindo Jimboni kwake Urambo na kuhutubia katika Viwanja vya Mwananchi Square.

Sitta akihutubia wapigakura wake alielezea jinsi mchakato wa Bunge Maalum la Katiba ulivyokwenda hadi alipokabidhi Katiba inayopendekezwa kwa Rais Dkt.Jakaya Kikwete.

Katika hotuba yake hiyo, Sitta ambaye alikuwa Mwenyekiti wa bunge hilo, alielezea jinsi katiba ilivyotoa haki za wakulima, wafugaji, haki za watoto, baraza la vijana la Taifa, hamsini kwa hamsini kwa wanawake katika nafasi za uongozi na mengineyo.

Aidha, amewataka wana Urambo na watanzania kuipitia Katiba inayopendekezwa kwa kina na ufasaha kwani imekidhi vigezo na matakwa ya wananchi yenye maslahi mapana ya vizazi kwa vizazi.
===================

10418983_802870006443650_17526327949523614_n.jpg

Samwel Sitta wakati wa shughuri ya kumsimika.
10704076_802869316443719_2623104900641162220_n.jpg

Mhe. Samwel Sitta akihutubia wananchi wake katika mkutano wa kumpongeza kwa kazi ngumu ya kuliongoza Bunge Maalum
10710696_802870223110295_8112502459661380857_n.jpg

10365728_802870863110231_469350024327703825_n.jpg
 
Je mmemchunguza Sita katika picha ??? anatembea face down hana dalili za furaha ,uso umesawijika ,pale alipokaa na mkewe kama sikosei anaonekana kama mwenye maradhi ya baridi ,amejikunyata amejikunja ,ana masaibu gani moyoni ??
 
"Kuna mbunge alionekana anamwaga unga bungeni"-6.Leo wako wote kwenye katiba pendekezwa, mambo ya masilahi hayoooo!!!Unafiki ndani Ccm
 
MwanaDiwani post #56 :

Mtaendelea kuyaita "uongo" Yale yote ambayo kila Wakati fahamu zinapowarudia, huwa mnaona Kwamba kumbe hayafai.

Tulieleza miezi mingi sana iliyopita Kwamba waandaaji wa rasimu ya mafichoni ni Chenge na wenzake. Leo Chenge tuliyemtaja Ndio mwandishi mkuu wa rasimu inayopendekezwa na ccm. Ushahidi we Madai yetu upo wazi hata Kama Nyaraka husika ilikuwa na mhuri wa "SIRI".

Katika hili la mabunge matatu, serikali Mbili, Mlitokwa na fahamu lakini pale fahamu zilipowarudia tu, mkagundua Kwamba - kuwepo kwa baraza la wawakilishi la Tanzania bara litakaloshughulikia masuala ya Tanzania bara chini ya Mfumo wa muungano wa serikali Mbili, hata ziboreshwe vipi, ni Jambo ambalo lisingewezekana. Mkagundua Kwamba hatua yenu ya kujaribu kuja na mkakati wa kuzuia wabunge kutoka visiwani kushiriki mjadala usio husu mambo ya muungano ingekuwa ni kuchochea tu mgogoro. Hii ni kwa sababu sasa mmepata ufahamu na Kugundua Kwamba hakuna "mambo ya Tanzania bara peke yake" yatakayopatikaba chini ya Mfumo wa serikali Mbili hata mkiziboresha vipi, serikali Mbili zinafaa mambo ya Zanzibar na mambo ya muungano tu, basi.

Mlipopata fahamu mkagundua Kwamba ndani ya serikali Mbili, hauwezi kuwa na bunge la Tanzanka bara na bado Mkazunguka na kinana kwa wananchi na katiba yenu mnayopendekeza na kuinadi kwamba bunge Hilo litakuwa ni la wananchi. Ndani ya serikali Mbili hata mziboreshe namna gani hakuwezi kuwa na msimamizi wa mambo ya Tanzania bara kwa sababu serikali ya kufanya hivyo ni serikali ya Tanganyika ambayo hamuitaki licha ya wananchi kuzidi kuitaka.

Kwa maana nyingine - Wakati fahamu zenu zilipoenda likizo, mkapendekeza serikali Mbili Zenye mabunge matatu huku Hilo bunge la Tatu likiwa halina serikali yake. Mkapata fahamu Kwamba tutajibu nini kwa wananchi iwapo watauliza bunge Hili linachunga, kushauri na kusimamia serikali Ipi? Fahamu zenu zikarudi na mkaona Kwamba kuleta Bunge la Tatu ndani ya serikali Mbili - hakuna atakayewajibika pale aliyeagizwa atashindwa kutekeleza alichoagizwa.

Fahamu zilipowarudia, mkabaini Kwamba duniani kote, bunge ni moja ya mihimili mitatu ya dola, mingine ikiwa ni Mahakama na serikali. Mkagundua Kwamba hakuwezi kuwepo mabunge mawili ndani ya bunge la muungano - bunge la TANZANIA bara bila ya kuwepo baraza la mawaziri la Tanzania bara, bila rais au waziri mkuu. Fahamu ziliporudi mkaona Kwamba serikali Mbili zitasababisha rais wa muungano asuBuhi kuwa kiongozi wa kikao cha baraza la mawaziri la muungano halafu jioni kuwabagua wazanzibari na kuwa kiongozi wa kikao cha baraza la mawaziri la Tanzania bara.

Unakumbuka pia hoja zako za Kupinga serikali Tatu Kwamba ni gharama, hoja ambayo pia makada wenzako walikuwa wanaibebea bango ndani na nje ya bunge la katiba? Hii Ndio ilikuwa hoja yenu kuu:

"Serikali Tatu ni kuongeza gharama na kuifanya nchi kuwa na marais watatu, suala ambalo pia litaleta mgongano wa madaraka".

Je kofia Saba za urais ndani ya rasimu yenu ni nafuu zaidi kwa walipa kodi kuliko mapendekezo ndani ya rasimu ya tume ya jaji warioba?

Je, kofia Saba za urais hazitaleta Sabmgongano wa madaraka?

1. Rais wa JMT.
2. Makamu wa kwanza wa rais JMT.
3. Makamu wa pili wa rais wa JMT.
4. Rais wa Zanzibar.
5. Makamu wa Tatu wa rais (waziri mkuu wa JMT).
6. Makamu wa kwanza wa rais Zanzibar.
7. Makamu wa pili wa rais Zanzibar.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
MBUNGE wa Jimbo la Urambo Mashariki Samwel Sitta, amepokelewa kwa kishindo Jimboni kwake Urambo na kuhutubia katika Viwanja vya Mwananchi Square.

Sitta akihutubia wapigakura wake alielezea jinsi mchakato wa Bunge Maalum la Katiba ulivyokwenda hadi alipokabidhi Katiba inayopendekezwa kwa Rais Dkt.Jakaya Kikwete.

Katika hotuba yake hiyo, Sitta ambaye alikuwa Mwenyekiti wa bunge hilo, alielezea jinsi katiba ilivyotoa haki za wakulima, wafugaji, haki za watoto, baraza la vijana la Taifa, hamsini kwa hamsini kwa wanawake katika nafasi za uongozi na mengineyo.

Aidha, amewataka wana Urambo na watanzania kuipitia Katiba inayopendekezwa kwa kina na ufasaha kwani imekidhi vigezo na matakwa ya wananchi yenye maslahi mapana ya vizazi kwa vizazi.
===================

10418983_802870006443650_17526327949523614_n.jpg

Samwel Sitta wakati wa shughuri ya kumsimika.
10704076_802869316443719_2623104900641162220_n.jpg

Mhe. Samwel Sitta akihutubia wananchi wake katika mkutano wa kumpongeza kwa kazi ngumu ya kuliongoza Bunge Maalum
10710696_802870223110295_8112502459661380857_n.jpg

10365728_802870863110231_469350024327703825_n.jpg
Mzee 6 tuombe radhi sisi WA TZ!unawaonea bure ukawa,malumbano Ni Kati ya WA TZ tuliotoa mapendekezo yetu kwenye rasimu ya katiba,kama ulivyoamua kutudharau na kunyofoa yote tuliyohitaji yawemo kwenye katiba!subiri Mziki wetu,wewe Ni msaliti na dawa ya usaliti inajulikana
 
MwanaDiwan,
Pengine wewe unaweza kuwa na majibu mazuri zaidi kuliko vijana wako wa Lumumba kitengo cha uzushi. Ni sababu gani zinazowafanya kwenye mikutano yenu kusomba watu na malori pande mbalimbali kuhudhuria mikutano yenu?

Ndugu,
CCM haina vijana wa kitengo cha kwenye mitandao achilia mbali kitengo cha uzushi.

Kazi na matokeo ya CCM ndiyo yanawakutanisha wanachama wake katika kulitumikia taifa lao kupitia CCM.

CCM siyo CHADEMA ambayo imeajiri vijana wa kitengo cha mitandao kueneza ulaghai wa CHADEMA.

Hii ni hoja inayowafaa watu wenye upeo kiduchu kwenye eneo la siasa za Tanzania.

Ningekuelewa kama ungesema watu wanalazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CCM.

Kama kuna watu wana uwezo wa kutoa usafiri, tatizo hapa ni nini?.

Ulitaka watembee kwa miguu wakati wana usafiri.

Hata kwenye chaguzi ndogo za Kalenga na Chalinze walikuwa wanasafirishwa kwenye magari kwenda kwenye mikutano na kupiga kura ili kutimiza akidi!. Nadhani matokeo unayafahamu.

Hata kwenye chaguzi za madiwani walikuwa wanasafirishwa ili
Kutimiza akidi ya uwanjani!. Nadhani matokeo ya chopa 3 madiwani 3 unayafahamu.

Endeleeni kuishi katika nchi ya kufikirika wakati CCM inaishi katika uhalisia kama matokeo ya chaguzi mbali mbali yanavyobainisha.
 
Kweli nimeamini kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu. Sitta na chenge ni marafiki sasa, wakati walikuwa paka na panya! Turudi kwenye mada, je sitta hao wazee aliowarubuni kumpa uchifu feki amewalipa kiasi gani?

wazee wa huko wananjaa kwahiyo nasikia katoa laki moja kwa kila mzee,wapo wazee wanne
 
Mama Mimi najua Wewe huwa unafikri kwa kutumia mbunye huna jipya! Nani kakudanganya kuwa katiba ya chenge/sitta inaweza kuwa bora kuliko zote kusini mwa jangwa la sahara? Hicho misiki chako kimekuzidi urefu nenda ukakeketwe!!

Umeanza kwa kuniita Mama then ukatoa kejeli na kashfa zisizomithilika.Naomba Mama yako akuwie radhi kama bado yu hai au vinginevyo kwa kuhusisha jina lake na kejeli. Kwenye Mchakato wa Katiba Bungeni kuna baadhi yenu mlidhani hata Akidi ya kulifanya Bunge liendelee isingetimia lakini mwishowe sio tu akidi bali hata kura zimetosha, sasa mmekuja na jipya eti 2/3 ya ZNZ haitotimia,

Tunakuthibitishia wewe na wenye akili kama zako hata mkitaka tupate 2/3 ya kura kwenye Baraza kuu la CUF na Chadema ili kupitisha Katiba zitapatikana, ni suala la Wakati tu wakati tukiendelea kumsihi Mh. Rais akubali kuridhia kilio cha Wanyonge kuwa kura ya Katiba M Mpya ipigwe kabla ya Uchaguzi Mkuu au sambamba na Uchaguzi Mkuu
 
MwanaDiwani post #56 :

Mtaendelea kuyaita "uongo" Yale yote ambayo kila Wakati fahamu zinapowarudia, huwa mnaona Kwamba kumbe hayafai.

Tulieleza miezi mingi sana iliyopita Kwamba waandaaji wa rasimu ya mafichoni ni Chenge na wenzake. Leo Chenge tuliyemtaja Ndio mwandishi mkuu wa rasimu inayopendekezwa na ccm. Ushahidi we Madai yetu upo wazi hata Kama Nyaraka husika ilikuwa na mhuri wa "SIRI".

Katika hili la mabunge matatu, serikali Mbili, Mlitokwa na fahamu lakini pale fahamu zilipowarudia tu, mkagundua Kwamba - kuwepo kwa baraza la wawakilishi la Tanzania bara litakaloshughulikia masuala ya Tanzania bara chini ya Mfumo wa muungano wa serikali Mbili, hata ziboreshwe vipi, ni Jambo ambalo lisingewezekana. Mkagundua Kwamba hatua yenu ya kujaribu kuja na mkakati wa kuzuia wabunge kutoka visiwani kushiriki mjadala usio husu mambo ya muungano ingekuwa ni kuchochea tu mgogoro. Hii ni kwa sababu sasa mmepata ufahamu na Kugundua Kwamba hakuna "mambo ya Tanzania bara peke yake" yatakayopatikaba chini ya Mfumo wa serikali Mbili hata mkiziboresha vipi, serikali Mbili zinafaa mambo ya Zanzibar na mambo ya muungano tu, basi.

Mlipopata fahamu mkagundua Kwamba ndani ya serikali Mbili, hauwezi kuwa na bunge la Tanzanka bara na bado Mkazunguka na kinana kwa wananchi na katiba yenu mnayopendekeza na kuinadi kwamba bunge Hilo litakuwa ni la wananchi. Ndani ya serikali Mbili hata mziboreshe namna gani hakuwezi kuwa na msimamizi wa mambo ya Tanzania bara kwa sababu serikali ya kufanya hivyo ni serikali ya Tanganyika ambayo hamuitaki licha ya wananchi kuzidi kuitaka.

Kwa maana nyingine - Wakati fahamu zenu zilipoenda likizo, mkapendekeza serikali Mbili Zenye mabunge matatu huku Hilo bunge la Tatu likiwa halina serikali yake. Mkapata fahamu Kwamba tutajibu nini kwa wananchi iwapo watauliza bunge Hili linachunga, kushauri na kusimamia serikali Ipi? Fahamu zenu zikarudi na mkaona Kwamba kuleta Bunge la Tatu ndani ya serikali Mbili - hakuna atakayewajibika pale aliyeagizwa atashindwa kutekeleza alichoagizwa.

Fahamu zilipowarudia, mkabaini Kwamba duniani kote, bunge ni moja ya mihimili mitatu ya dola, mingine ikiwa ni Mahakama na serikali. Mkagundua Kwamba hakuwezi kuwepo mabunge mawili ndani ya bunge la muungano - bunge la TANZANIA bara bila ya kuwepo baraza la mawaziri la Tanzania bara, bila rais au waziri mkuu. Fahamu ziliporudi mkaona Kwamba serikali Mbili zitasababisha rais wa muungano asuBuhi kuwa kiongozi wa kikao cha baraza la mawaziri la muungano halafu jioni kuwabagua wazanzibari na kuwa kiongozi wa kikao cha baraza la mawaziri la Tanzania bara.

Unakumbuka pia hoja zako za Kupinga serikali Tatu Kwamba ni gharama, hoja ambayo pia makada wenzako walikuwa wanaibebea bango ndani na nje ya bunge la katiba? Hii Ndio ilikuwa hoja yenu kuu:

"Serikali Tatu ni kuongeza gharama na kuifanya nchi kuwa na marais watatu, suala ambalo pia litaleta mgongano wa madaraka".

Je kofia Saba za urais ndani ya rasimu yenu ni nafuu zaidi kwa walipa kodi kuliko mapendekezo ndani ya rasimu ya tume ya jaji warioba?

Je, kofia Saba za urais hazitaleta Sabmgongano wa madaraka?

1. Rais wa JMT.
2. Makamu wa kwanza wa rais JMT.
3. Makamu wa pili wa rais wa JMT.
4. Rais wa Zanzibar.
5. Makamu wa Tatu wa rais (waziri mkuu wa JMT).
6. Makamu wa kwanza wa rais Zanzibar.
7. Makamu wa pili wa rais Zanzibar.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Inasikitisha sana hasa kwa nchi masikini kama yetu ,wananchi wataubeba mzigo mkubwa huu wa waheshimiwa wao.Kama nchi tumefikia hatua mbaya sana ya kuugharamia uongozi na sio maendeleo kwa jamii kubwa .
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nilikuwa Simkubali kabisa Mh. Samwel Sitta hasa jinsi alivoendesha Bunge la Tissa kwa kulifanya Jukwaa la kusakama wapinzani wake wa Kisiasa lakini baada ya kupumzishwa na kuona jinsi Nguli wa Siasa, Mwanamke wa Karne Anne Makinda akiongoza Bunge kwa kanuni na Sheria bila ya ushabiki nae kajifunza na Hatimae kafanikiwa kutuletea Katiba Pendekezwa Bora kabisa kusini mwa Jangwa la Sahara kama alivoahidi. Hongera Sitta Hongera Comrade Andrew Chenge

Sichalwe mh! haya bhana na maslahi yako ccm.
 
Kuhusu ubora wa katiba naunga mkono 100/100, maana nasikia kuna mpaka marehemu waliipigia kura ya ndio!
 
Nimefanikiwa kutembelea tovuti ya utoaji mikopo VICOBA ambayo ni www.vicobatanzania.wapka.mobi nimejiunga na kupatiwa mkopo nimechukua mil.10 mil.5 nahitaji kuwekeza ktk biashara ya duka la jumla la vinywaji mil.5 nyingine nataka kununua kiwanja.

Wana JF kwa mwenye wazo lolote au ushaur kuhusu biashara ya duka la jumla anisaidie nawaomba.

Angalieni msije mkaingia mtego,
 
Sita bana sijui hiyo ni home coming ya ngapi,mbona anawapotezea muda wananchi wa Urambo,kwa kurudia DVD inayokwama kwama na kurudia yaleyale,kamakatiba nzuri mbona wameondoa mambo ya UADILIFU,wabunge kuwajibika kwa waliowachagua ,ukoomo wa madaraka ya raisi na ukomo wa vipindi vya wabunge bungeni?tunaimbishwa tu wimbo wa katiba nzuri katiba nzuri wakati ni changa la machoSitta atawaota sana UKAWA.
 
Mkuu Funza, kwa Tanzania, everything is posible!.

Pasco.

Ni kweli kila kitu Tz kinawezekana, lakini kimoja tu ndio kimeshindikana yaani (. Maisha bora kwa kila Mtanzania )
 
Kwani huo uchief unapewa marangapi..?! Maana hi karibia mara ya nne sasa..!?

Hii ni ajabu sana, wazee hao wanahongwa vijisenti wanakuwa wanamsimika uchifu kila mwaka! Tujuavyo ni kwamba Chifu ana simikwa mara moja tu kwa maisha yake yote. Huu unaofanyika sasa ni uchawi tu.
 
Kuhusu ubora wa katiba naunga mkono 100/100, maana nasikia kuna mpaka marehemu waliipigia kura ya ndio!

Medula Oblangata yako ilifungwa Sikioni? Kichwa ni kwa ajili ya kufikiri sio kusokotea Dred.
 
MwanaDiwani post #56 :

Mtaendelea kuyaita "uongo" Yale yote ambayo kila Wakati fahamu zinapowarudia, huwa mnaona Kwamba kumbe hayafai.

Tulieleza miezi mingi sana iliyopita Kwamba waandaaji wa rasimu ya mafichoni ni Chenge na wenzake. Leo Chenge tuliyemtaja Ndio mwandishi mkuu wa rasimu inayopendekezwa na ccm. Ushahidi we Madai yetu upo wazi hata Kama Nyaraka husika ilikuwa na mhuri wa "SIRI".

Katika hili la mabunge matatu, serikali Mbili, Mlitokwa na fahamu lakini pale fahamu zilipowarudia tu, mkagundua Kwamba - kuwepo kwa baraza la wawakilishi la Tanzania bara litakaloshughulikia masuala ya Tanzania bara chini ya Mfumo wa muungano wa serikali Mbili, hata ziboreshwe vipi, ni Jambo ambalo lisingewezekana. Mkagundua Kwamba hatua yenu ya kujaribu kuja na mkakati wa kuzuia wabunge kutoka visiwani kushiriki mjadala usio husu mambo ya muungano ingekuwa ni kuchochea tu mgogoro. Hii ni kwa sababu sasa mmepata ufahamu na Kugundua Kwamba hakuna "mambo ya Tanzania bara peke yake" yatakayopatikaba chini ya Mfumo wa serikali Mbili hata mkiziboresha vipi, serikali Mbili zinafaa mambo ya Zanzibar na mambo ya muungano tu, basi.

Mlipopata fahamu mkagundua Kwamba ndani ya serikali Mbili, hauwezi kuwa na bunge la Tanzanka bara na bado Mkazunguka na kinana kwa wananchi na katiba yenu mnayopendekeza na kuinadi kwamba bunge Hilo litakuwa ni la wananchi. Ndani ya serikali Mbili hata mziboreshe namna gani hakuwezi kuwa na msimamizi wa mambo ya Tanzania bara kwa sababu serikali ya kufanya hivyo ni serikali ya Tanganyika ambayo hamuitaki licha ya wananchi kuzidi kuitaka.

Kwa maana nyingine - Wakati fahamu zenu zilipoenda likizo, mkapendekeza serikali Mbili Zenye mabunge matatu huku Hilo bunge la Tatu likiwa halina serikali yake. Mkapata fahamu Kwamba tutajibu nini kwa wananchi iwapo watauliza bunge Hili linachunga, kushauri na kusimamia serikali Ipi? Fahamu zenu zikarudi na mkaona Kwamba kuleta Bunge la Tatu ndani ya serikali Mbili - hakuna atakayewajibika pale aliyeagizwa atashindwa kutekeleza alichoagizwa.

Fahamu zilipowarudia, mkabaini Kwamba duniani kote, bunge ni moja ya mihimili mitatu ya dola, mingine ikiwa ni Mahakama na serikali. Mkagundua Kwamba hakuwezi kuwepo mabunge mawili ndani ya bunge la muungano - bunge la TANZANIA bara bila ya kuwepo baraza la mawaziri la Tanzania bara, bila rais au waziri mkuu. Fahamu ziliporudi mkaona Kwamba serikali Mbili zitasababisha rais wa muungano asuBuhi kuwa kiongozi wa kikao cha baraza la mawaziri la muungano halafu jioni kuwabagua wazanzibari na kuwa kiongozi wa kikao cha baraza la mawaziri la Tanzania bara.

Unakumbuka pia hoja zako za Kupinga serikali Tatu Kwamba ni gharama, hoja ambayo pia makada wenzako walikuwa wanaibebea bango ndani na nje ya bunge la katiba? Hii Ndio ilikuwa hoja yenu kuu:

"Serikali Tatu ni kuongeza gharama na kuifanya nchi kuwa na marais watatu, suala ambalo pia litaleta mgongano wa madaraka".

Je kofia Saba za urais ndani ya rasimu yenu ni nafuu zaidi kwa walipa kodi kuliko mapendekezo ndani ya rasimu ya tume ya jaji warioba?

Je, kofia Saba za urais hazitaleta Sabmgongano wa madaraka?

1. Rais wa JMT.
2. Makamu wa kwanza wa rais JMT.
3. Makamu wa pili wa rais wa JMT.
4. Rais wa Zanzibar.
5. Makamu wa Tatu wa rais (waziri mkuu wa JMT).
6. Makamu wa kwanza wa rais Zanzibar.
7. Makamu wa pili wa rais Zanzibar.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndugu Mchambuzi
Hoja ya kusema tulipatwa na fahamu au hatukupatwa na fahamu haina mantiki yoyote katika ulimwengu wa ukweli na uwazi unaochagizwa na ushahidi kamili ( Hard or tangible evidence).

Kama ungekuwa umeweka hapa ushahidi wako wa documents and audio hata maneno yako haya yangejenga mantiki kwa watu wenye fikra pevu.

Kila mwenye fikra pana alifahamu maoni ya CCM kama taasisi kwenye Tume ya Jaji Warioba.

CCM ilishauri Muundo wa Serikali mbili lakini haikueleza kwa maksudi juu ya maboresho yake kwa sababu kazi ya kuboresha ilikuwa ni kazi ya Tume ya Jaji Warioba na Bunge Maalum kufanya maamuzi.

Watu kama wewe ndiyo mkaanza kuja hapa jukwaa na maboresho kutoka katika fikra zenu huku mkitumia tactics za kusema mna documents na audio ili wanaJf wawaamini katika porojo zenu.

Eti Mabunge matatu na Nafasi ya Makamu wa Rais wa JMT kupewa Rais wa Zanzibar. My left foot!.

Halafu hii dhana ya kusema Makamu wa Rais sijui sita au saba ni hoja muflisi ukilinganisha na Rasimu ya Jaji Warioba.

Hiyo Rasimu ya Warioba ilikuwa na Makamu wa Rais wangapi?.

Hiyo Tanganyika yenu ingekuwa na Rais na Makamu wangapi au mmesahau kuwa kungekuwa na Serikali ya Tanganyika yenye Rais na Makamu, kwa lugha nyingine tungekuwa na Marais watatu plus idadi ya Makamu wa Marais kwa Serikali tatu chini ya Rasimu ya Jaji Warioba.

Sasa ukijumlisha Marais wa Nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar na pia Makamu wao plus Rais wa JMT na Makamu wake wangekuwa wangapi?.

Achaneni na porojo za kitoto!.

Mhe. Chenge hakujiweka kwenye kiti cha Uenyekiti wa Kamati ya Uandishi bali alichaguliwa na Wajumbe wake ambao wengine wako kwenye kikundi cha UKAWA.
Hii ndiyo orodha ya Wajumbe waliomchagua Mhe. Chenge kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi,

attachment.php

attachment.php
 
Hii ni ajabu sana, wazee hao wanahongwa vijisenti wanakuwa wanamsimika uchifu kila mwaka! Tujuavyo ni kwamba Chifu ana simikwa mara moja tu kwa maisha yake yote. Huu unaofanyika sasa ni uchawi tu.
Ni kweli mkuu..ukute ni imani za kishirikina..nguo za kichifu za tabora ni nyeupe na kilemba lakini hizo kama sanda sio
 
Back
Top Bottom