Samwel Sitta Live on Mlimani TV

senema inataka kuanza mipango yote waliyopanga kuteketeza upinzani sasa ndio wakati wake kuanza
 
Mimi binafsi hakuna mwana CCM hata mmoja ninayeweza kukaa na kumsikiliza,I HATE ALL MEMBERS OF CCM.
 
Basically, all people are imperfect; only we differ by size of our faulties. Hata wewe unayesema 6 ni mnafiki, unatumia unafiki huohuo kusema hivyo, kwa sababu hujatuonesha ni nani angepaswa kuyasema hayo anayoyasema Mh. Sitta.

Sasa hivi wa-Tz tunapatwa na tatizo la kuwa na mitizamo iliyofarakana na inaongezeka kadiri muda unavyosonga. Sababu kubwa ya mafarakano katika mitizamo yetu ni moja au yote kati ya 1. ukosefu wa mfumo madhubuti wa kusimamia taifa 2. Kukosekana kwa kiongozi madhubuti. Nchi zinazoendelea nyingi huwa hazifikia hatua ya kuwa na mfumo madhubuti wa kusimamia nchi, hivyo mara nyingi huwa zinategemea mtu/kiongozi mmoja madhubuti. Mfano ni Sadam wa Iraq, Gadaf wa Libya, Nyerere wa Tanzania, nk

Sasa hivi kila mtu akijitokeza kutoa mawazo anayoamini ni ukweli unaoumiza taifa watu wanaanza kumpima kwa vigezo kama vile 1.dini yake 2. kabila lake3. ukanda atokako 4. mtandao wake 5.ama atakutana na chuki inayobebwa na sababu yoyote isiyofahamika. Hii ni dalili mbaya sana, na kwa mtindo huu tuna tatizo kubwa ambalo nitalifananisha na timed bomb linalongojea kuripuka muda wowote ukitimia. Nchi yetu sasa hivi inashuhudia

1.Mgawanyiko mkubwa kiitikadi na kijamii kupita maelezo
2. Ufisadi uliotukuka, na
3. Kutoweka kwa uzalendo kati ya viongozi na wananchi.

Kwa kweli sasa hivi Tanzania inaugua ugonjwa wa kufisha. Je, tutapata wapi daktari wa kuutibu? Je atatumia dawa gani kutibia? Je itachukua muda gani kutumia dawa hiyo hadi kupona? Naomba jibu.
 

Ahsante sana Mkuu
 
By JULIUS BWAHAMA, 11th October 2011 @ 16:00,
Daily News


SEVEN Non-Governmental Organizations (NGOs) and human rights activists have planned countrywide demonstrations for ten days from Friday, protesting payment of 94bn/- award to Dowans.

The Legal and Human Rights Centre (LHRC), Sikika and Hakielimu said in Dar es Salaam yesterday they will take part in the demonstrations. Others are, TAMWA, TGNP, H.D.T and ED-AP200 .

Speaking to reporters, on behalf of other activists, Mr Irenei Kiria, the Executive Director of Sikika urged people to dress in black colour for ten days, in memory of the 12th anniversary of Mwalimu Julius Nyerere's death.

"I urge all Tanzanians to pray to God throughout the weekend, to give us the strength and patriotism we need to defend our country's riches," said Mr Kiria.

He said some people could be beneficiaries of the payments and wondered who could be on the 'payroll.'

"The contract between Tanesco and Dowans was void because it was executed even before the company had been officially registered. Some issues are not yet clear "who is Dowans and why is the government so keen to pay the money?" Mr Kiria wondered. Mr Kiria said the NGOs' stand is that the government should not pay Dowans at all.

"There is need for the government to implement the 23 parliamentary resolutions showing the entire process leading to the Dowans award, said Mr Kiria, adding that next time the government plans to enter into any contract, it should involve both the parliament and the public.
 

Mimi nina kazi ya mshahara kwa mwezi nalipwa hata mil. haifiki lakini ninakiwanja cha eka 5 maeneo ya boko nilikipata kwa sh. mil.25 miaka 7 iliyopita, sasa mtu kama samweli na mkewe wananyadhifa nyingi serkalini toka wakati wa uhuru unashangaa nini kumiliki eka 10!? halafu umesema wamefungua shule wewe uoni kama ni jambo jema kuliko Roast Ham anayepeleka pesa za wizi uarabuni? hata kama ni mnafiki lakini ameweza kutuambia ni kwanini ameusema unafiki wake huo... sasa sisi tusio wanafiki tuueleze unafiki wake kwa wazi kama yeye alivyofanya... usisahau huo uwanja umefika thamani ya hiyo pesa hivi sasa je wakati ananunua ulikuwa na thamani gani? tujaribu kusimamia ukweli kuliko kupinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…