Jina la Samwel Sitta lilipotajwa ili apokee recognition pale udsm kama Spika aliyesoma kitivo cha sheria alishangiliwa sana. Ukumbi ulilipuka kwa shangwe. Kushangiliwa kwake tena na wasomi inaonyesha watanzania wana imani kubwa nae. CCM wakifanya mizengwe namshauri ajiunge Chadema, atapata nafasi nzuri, watanzania wanamhitaji sana.
hii ni aina nyingine ya upuuzi wa kitanzania hakuna anaye sema THANKS kisa kuna kosa lilifanywa nyuma au linaendelea hata sheria zina hukumu wati kitofauti kutokana na ushirikiano wao au uwajibikajiKumbe kuna wasomi wanaomshangilia huyu mnafiki?..
hii ni aina nyingine ya upuuzi wa kitanzania hakuna anaye sema THANKS kisa kuna kosa lilifanywa nyuma au linaendelea hata sheria zina hukumu wati kitofauti kutokana na ushirikiano wao au uwajibikaji
mimi sio mfuasi wa SITTA ila kwa maneno anayosema no matter anamaanisha amaanishi ni ya ukweli na muhimu kutolewa na mtu kama yeye sasa watu wanataka yeye afanyeji?
kama kusema ukweli sio mwanzo mzuri baadaye atajua na njia, au mpaka aseme mtu furani hapa ndio yanaoneka sio unafiki tunapima vipi sasa huo unafiki
Huo ndio ukweli. Ujasiri wa kusema tu ukweli ni kitu kikubwa sana ambacho viongozi wengi wanaogopa kufanya
Kwanza kuna mambo mengi ya kujifunza sana katika watu maarufu wanaohama chama, wanaweza wasikisaidie chama kama inavyofikiriwa au kuaminiwa. Mamluki wengi ni watu wa kuhamia, na hawana uchungu kuliko watu waliokulia chamani.Huyu jamaa ni mnafiki na aaminiki kabisa mkuu,kuna baadhi ya mambo anakuwa kama ni mtu mwema na mengine ni kituko...ishu ya uraisi 015 anaonekana kama anapigana upande wa watanzania kwasababu halipendi kundi la EL lakini ukija kwenye posho ndio wakwanza kutaka iongezwe...nadhani hatufai CDM....
Kama kawaida Watanzania wenye fikra mgando wanaendelea kuimba wimbo waliokaririshwa pasi kufikiri...Mnafiki....Mnafiki....Mnafiki, CCM wote Wanafiki...Wanafiki, upumbavu mtupu!!
Endeleni kuimba huku huo wimbo huku mkiwakatisha tamaa waliojitolea kupambana na uovu na kuwapa upenyo waliojitolea kula pesa za nchi.