Samwel Sitta ampiga bao Lowassa urais 2015

Wassira yupi unayemzungumzia hasa, siyo yule mbunge wa Bunda ambaye ukoma umeathiri sana nerves zake kiasi kwamba anasinzia hata akiwa anatembea? Kama ni huyo si lolote wala si chochote
 

Jaribu tena!
 
upatanishi wa meya na mbunge unapatikana kanisani hii kali!au walimuogopa askofu? FF,MS mkiambiwa nchi inaendeshwa na kanisa mnabisha?
 
Afadhali sasa hivi kila thread inaihusu CCM..CDM imeanza kupotea kwenye jukwaa letu la siasa.
.
Mizingo ya JF!sioni hoja ya msingi hapa,inasikitisha sana huyu jamaa ni mbambaishaji sana na ni mzigo namba moja wa JF!
 
Tusiwagombanishe jamani hawa ni marafiki sana



Hivi hapo ni kitu gani kinaonyesha kuwa hawa ni marafiki? Picha hii ilipigwa wakati Mr Six ni Spika na Mrs Six ni waziri wa elimu na EL akiwa PM. Huyo binti ni wale waliofaulu vizuri. Sasa hapo urafiki uko wapi? Mbona unapotosha?
 
ni kweli Lowassa kapigwa la kisigino, lijamaa linasema mie natoa mchango sijipitishi pitishi kwenye altare za watu kujisafisha kama usafi ninao tayari
 
Umeshau kuongezea swala la ujenzi wa ofisi ya gharama kubwa kupita kiasi.
 
Nyie mwaanza ktafuta rais leo? du hii inaonyesha kazi ya kuwatumikia wananchi imewashinda kabisaa
 
hakuna jema kutoka magamba hata yeye alikiri jana kuwa vijana ndio watakaobadilisha nchi sio wazee tena
 
Sita ni Janga la Taifa!
YeYe ndio Chachu ya Kustawisha Malumbano CCM!Hasira za kuenguliwa Uspika
Kwani kule Arusha si alijichomeka kuwaita Lema na Limo mbele najidai kuwapambanisha!pale kila mtu alienda kwa ajili ya kuchangia Kanisa!
Tatizo mh 6 anaonekano mtu wa Vineno kama wale wanaousuka nywele wenzao!
Hakitakii mema chama cha wenzake CCM!Anataka Kisambaratike kama CCJ yake ambayo Aliitumia Kumliza kisiasa Mpendazoe wa Watu!
Mbona 6 anakimbilia kujiita msafi!Si angoje apimwe kweny kipima joto
 

Hebu eleza mema ya EL ili mjadara uwe mzuri, hebu tushushie hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…