Samuel Sitta: Historia yangu kunibeba katika Urais

Samuel Sitta: Historia yangu kunibeba katika Urais

Travelogue_tz

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
855
Reaction score
1,224
Samuel Sitta kupitia Mwananchi amedai kuwa historia yake nzuri ndiyo itakayomfanya aungwe mkono katika harakati zake za kuomba ridhaa ya kuwa Rais wa Tanzania.

Kwanza anadai kuwa atakumbukwa kwa kutimiza ndoto za watanzania ya kuwapatia katiba mpya.

Pili kwa utumishi wake wa muda mrefu Serikalini na tatu ni utendaji wake kama Spika wa Bunge.

Chanzo: Mwananchi leo
 
Yawezekana ikawa kweli kayasema haya maana viongozi hawa waliolewa u-ccm hawatofautiani na KUKU, kama umeanika mtama hapo nje, ukiwa umekaa hapohapo nje KUKU akijisogeza kuula ukamfukuza sekunde hiyohiyo anarudi kuanza kuula ukiwa umekaa hapo hapo. Yaani KUKU huwa anasahau muda huohuo kuwa hatakiwi kusogea kwenye mtama huo.
Mzee Sitta ameshakuwa kama KUKU anayefukuzws asile mtama. KESHASAHAU kabisa.
 
Samuel Sitta kupitia Mwananchi amedai kuwa historia yake nzuri ndiyo itakayomfanya aungwe mkono katika harakati zake za kuomba ridhaa ya kuwa Rais wa Tanzania.

Kwanza anadai kuwa atakumbukwa kwa kutimiza ndoto za watanzania ya kuwapatia katiba mpya.

Pili kwa utumishi wake wa muda mrefu Serikalini na tatu ni utendaji wake kama Spika wa Bunge.

Chanzo: Mwananchi leo

Sita kwa kweli ni spika wa kwanza tanzania alie tetea uhuru wa bunge na hakua na upendeleo wowote kufutilia mbali janja ya katiba sitta anafaa kuliko wengine
 
Sitta ana laana ya kutukana viongozi wa dini yule ni kumsamehe bure hana sifa wala hafai kuwa mgombea wa uraisi .
 
Safari hii labda ujumbe Wa nyumba kumi, maana hata serikali za mitaa hapati.
 
Kwa kosa alilolifanya kuwatukana viongozi wangu kiimaniili aweze kuchakuchua katiba ya wananchi, nampa big Nooo. Ametuletea katiba ya ajabu mno nakudharau wananchi. Kama umeleta dharau kwa wananchi huo mtaji anaozungumzia ndo upi huo?
 
Huyu mzee anazeeka vibaya mara hii amesahau alichowafanyia watanzania
 
Ni kweli historia yake ya kuwatukana viongozi wa dini itambeba kweli. Kama anadhani tumeshasahau matusi aliyoyatoa dhidi ya viongozi wetu wa kiroho AMEPOTOKA.

mamamayee yaani ccm wamechafuka!..hawafai hata mmoja na hakuna rangi wataacha ona mwaka huu
 
Huyu mzee kweli anaugua with unknown disease yet...!!!
 
Namuunga mkono mdau aliyesema Sita ana akili za Kuku. Mara hii amesahau dhambi ya kuchakachua katiba na kupigisha kura za maruhani ili kumfurahisha Kikwete. Hatumchagui kuku kuwa raisi
 
Back
Top Bottom