Samuel Sitta: Historia yangu kunibeba katika Urais

Samuel Sitta: Historia yangu kunibeba katika Urais

Sitta alilewa misifa ya uspika wa bunge la JMT...

Kuongoza bunge na nchi ni vitu viwili tofauti...

Udhaifu aliouonesha katika bunge la katiba ni uthibitisho kuwa hata akipewa nchi itamshinda...

Kilichoandikwa katika rasimu ilikuwa ni sauti ya Watanzania, lakini yeye akaamua kuziba masikio...

Sasa usipokubali kusikiza sauti ya wananchi, huo Urais wautakia nini?
 
Samuel Sitta kupitia Mwananchi amedai kuwa historia yake nzuri ndiyo itakayomfanya aungwe mkono katika harakati zake za kuomba ridhaa ya kuwa Rais wa Tanzania.

Kwanza anadai kuwa

atakumbukwa kwa kutimiza ndoto za watanzania ya kuwapatia katiba mpya.

Pili kwa utumishi wake wa muda mrefu Serikalini na tatu ni utendaji wake kama Spika wa Bunge.

Chanzo: Mwananchi leo

pumbafu kabisa huyu mzee
 
Samuel Sitta kupitia Mwananchi amedai kuwa historia yake nzuri ndiyo itakayomfanya aungwe mkono katika harakati zake za kuomba ridhaa ya kuwa Rais wa Tanzania.

Kwanza anadai kuwa atakumbukwa kwa kutimiza ndoto za watanzania ya kuwapatia katiba mpya.

Pili kwa utumishi wake wa muda mrefu Serikalini na tatu ni utendaji wake kama Spika wa Bunge.

Chanzo: Mwananchi leo
Dah!
Kweli wanasiasa hawaoni wala hawasikii kinyesi kilicho mgongoni!
Baada ya kuboronga katiba, kutukana maaskofu, bado SAM6 ana ndoto za urais?
 
Urais kwake atausikia mitandaoni na kwenye maredio. Hatuwezi kuwa na rais mnafiki na mbabe kama huyu mzee. Nahisi anahitaji kupima akili zake,bila shaka kachanganyikiwa. Ujinga na ungese alioufanya kwenye BMK anatarajia kuwa rais? Kweli,wajinga bado tunao nchini.
 
Anazeeka vibaya, anadhani Watanzania wa leo ni wa Jana?

Hayo mambo aongelee watoto wake kina Ben na huyo domo Mwakibinga
 
Back
Top Bottom