Samsungs wanashida gani?

Sikuhizi wameweza kutuwekea ma betri mazuri.ila zamani ilikuwa kisanga
nilikuwaga na s4 changu enzi hizo masaa manne kishaisha kabisa usiwasha data ndio unaweza kaa nacho masaa kumi hivi
Wakuu nilitaka ninunue iphone 5SE toka Alibaba ni used kwa $40,vip gharama zikoje kuhusu kusafirisha na kod yake mpaka kunifikia? Au inaweza kuja kuzingua ikifika mambo ya network maana kuna zingine huwa ziko fixed kwamba huwez kuja kuweka local line?

Msaada wakuu Chief-Mkwawa et al
 
Kwani ungezungumza tu Tecno C8 au K7 ungepigwa
 
Kwanini ununue Iphone 5SE mkuu!!?kuna kipi special unachokihitaji kwenye hilo toleo
 
Mtu anaetumia s10 hayupo mbali sana na technology angalia series ilivyo
s6(2015),s7, s8, s9, s10 (released 2019), s20, s21, s22 (mwaka huu).
iphone 6 (2014), iphone 7, iphone 8, iphone x, iphone 11, iphone 12, iphone 13
Mi naona tofauti ni ndogo sana,hasa hapo tofauti ni version tu lkn technology ni zile zile tu labda pia na capacity ya kubeba vitu na perfomance
 
Mtu anaetumia s10 hayupo mbali sana na technology angalia series ilivyo
s6(2015),s7, s8, s9, s10 (released 2019), s20, s21, s22 (mwaka huu).
iphone 6 (2014), iphone 7, iphone 8, iphone x, iphone 11, iphone 12, iphone 13
Mi pia inabidi nitafute iphone 12/S20
 
Kwa nini,fafanua kiongozi
iphone 5 utateseka sana kuitumia endapo utaifanya primary phone maana kuna baadhi ya apps zipo limited kutokana na ios yake kuishia 10 pia hata performance yake sio nzuri kutokana na software yake kuwa ya muda mnoo (zaidi ya miaka 10 sasa) bora utafute hiyo SE ya 2020 hata used au uagizie
 
Vipi kuagiza Alibaba pamekaa fresh niliona kule zina bei nzuri
 
Kwanini usinunue Hapa? $40 plus usafiri na kodi si unaipata hio simu hapa?
 
Simu nzuri zenye Umbo dogo ni Sony, Si iphone wala si Samsung anaewafikia Sony kwenye hio sector.

Sony Xperia Xz1 compact ama Xz2 compact kama unataka ya Bei rahisi.
Juzi nimeenda dukani nikaikuta hiyo XZ2 ni simu nzuri sana nimeiona,ngoja nifanye mchakato,ubarikiwe mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…