Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 6,945
- 8,880
Labda wanaoptimize os vizuri . Kwani ukaaji chaji wake ukoje?Habari za muda huu sons and beautiful daughters of men.
Ninyoke kwenye mada.
IVI HAWA SAMSUNG WAMESHINDWA KABISA KUTENGENEZA BATTERIES AU VIP YAN SIMU KAMA NOTE 10 INA 3500mAh S10 3400mAh? SIMU HIZI NA NYINGINEZO NI NZURI LAKINI KWENYE BATTERIES CAPACITY NI SHIDA.
Wenda kuna sababu siijui ebu karibuni kwa michango na mitazamo yenu
Ni wakawaida sana yani sana, kampuni zingine sijui kama zinatoa phone yenye chini ya 5000mAhLabda wanaoptimize os vizuri . Kwani ukaaji chaji wake ukoje?
Kawaida masaa mangapi kwa matumizi ya kawaida ?Ni wakawaida sana yani sana, kampuni zingine sijui kama zinatoa phone yenye chini ya 5000mAh
😂 iko poa samsungs zote zenye mAh chinni ya 4000 tunatembea na chaji ukiwasha data kuanzia asubuhi ww mchana unachaji.masaa kumi hayafikiKawaida masaa mangapi kwa matumizi ya kawaida ?
Mfano mimi natumia Oppo , bat ni 4230mah, full time data matumizi ya kawaida nafikisha masaa 36 na ushee
Masaa 10 hayafiki .iko poa samsungs zote zenye mAh chinni ya 4000 tunatembea na chaji ukiwasha data kuanzia asubuhi ww mchana unachaji.masaa kumi hayafiki
Si kweli... yaani utumie data full time ikae 36hrs without charging? Hii ni chaiKawaida masaa mangapi kwa matumizi ya kawaida ?
Mfano mimi natumia Oppo , bat ni 4230mah, full time data matumizi ya kawaida nafikisha masaa 36 na ushee
Siyo uongo mkuu, nimemiliki oppo a3s, a31, a1k, realme 6 na a92 zote ukaaji wa chaji ni zaidi ya masaa 24 na data ikiwa on. Nilikuwa na samsung j6+ chaji masaa 7 tu. Kuna ndugu yangu ana Samsung a51 chaji masaa 12 imeishiwa chaji. Kwa sasa nina Redmi 9 chaji kuanzia masaa 20 ukiwa online.Si kweli... yaani utumie data full time ikae 36hrs without charging? Hii ni chai
Kukaa kwq chaji inategemea unatumiaje simu yako, simu yako ina qualitu gani ya display n.k n.kSiyo uongo mkuu, nimemiliki oppo a3s, a31, a1k, realme 6 na a92 zote ukaaji wa chaji ni zaidi ya masaa 24 na data ikiwa on. Nilikuwa na samsung j6+ chaji masaa 7 tu. Kuna ndugu yangu ana Samsung a51 chaji masaa 12 imeishiwa chaji. Kwa sasa nina Redmi 9 chaji kuanzia masaa 20 ukiwa online.
Simu za oppo kama ni kupiga na kupokea tu chaji inadumu muda mrefu zaidi.
Battery nalo linaenda na ukubwa na unene wa simu. S10+ ina 4100mah na note 10+ ina 4300mah.Habari za muda huu sons and beautiful daughters of men.
Ninyoke kwenye mada.
IVI HAWA SAMSUNG WAMESHINDWA KABISA KUTENGENEZA BATTERIES AU VIP YAN SIMU KAMA NOTE 10 INA 3500mAh S10 3400mAh 😕? SIMU HIZI NA NYINGINEZO NI NZURI LAKINI KWENYE BATTERIES CAPACITY NI SHIDA.
Wenda kuna sababu siijui ebu karibuni kwa michango na mitazamo yenu
Tatizo ni lako na si Samsung, zipo Samsung kibao zinakaa na chaji kuliko hizo ulizotaja.Siyo uongo mkuu, nimemiliki oppo a3s, a31, a1k, realme 6 na a92 zote ukaaji wa chaji ni zaidi ya masaa 24 na data ikiwa on. Nilikuwa na samsung j6+ chaji masaa 7 tu. Kuna ndugu yangu ana Samsung a51 chaji masaa 12 imeishiwa chaji. Kwa sasa nina Redmi 9 chaji kuanzia masaa 20 ukiwa online.
Simu za oppo kama ni kupiga na kupokea tu chaji inadumu muda mrefu zaidi.
Hapo mbongo wa kutoka chato kijijini hata kuelewa!Tatizo ni lako na si Samsung, zipo Samsung kibao zinakaa na chaji kuliko hizo ulizotaja.
Mfano hizo oppo ulizotaja zina weak soc ndio maana zipo slow jaribu kuchukua mfano wake kwa samsung A21s, perfomance ndogo na ukaaji chaji mkubwa.
Redmi 9 mfano wake ni A22 zina battery size moja na soc moja, pia ukaaji chaji hautofautiani sana na kitofautishi ni 90hz display ya A22.
Hivyo mkuu ukaaji chaji si Brand ya simu bali Technology husika ambazo zipo ndani.
Jamaa yupo sahihi kabisa. Natumia Oppo, data on nasurf net na ishu zingine na inakaa zaidi ya saa 24.Si kweli... yaani utumie data full time ikae 36hrs without charging? Hii ni chai
Mimi bado nina s6edge+Sasa watu wapo S22 wengine bado wapo 10
Oppo zote zina weak soc?Tatizo ni lako na si Samsung, zipo Samsung kibao zinakaa na chaji kuliko hizo ulizotaja.
Mfano hizo oppo ulizotaja zina weak soc ndio maana zipo slow jaribu kuchukua mfano wake kwa samsung A21s, perfomance ndogo na ukaaji chaji mkubwa.
Redmi 9 mfano wake ni A22 zina battery size moja na soc moja, pia ukaaji chaji hautofautiani sana na kitofautishi ni 90hz display ya A22.
Hivyo mkuu ukaaji chaji si Brand ya simu bali Technology husika ambazo zipo ndani.
Hizo alizotaja, mfano A3s ina snapdragon 450 ni soc ambayo haina nguvu sana lakini inakaa na chaji.same kwa samsung wanayo A02s nayo ina sd 450 inakaa na chaji ila mambo mengine averageOppo zote zina weak soc?
Mimi simu zangu huwa matumizi yake ni kupiga na kuperuzi mtandaoni mara chache, mambo mengine yaliyobaki nafanya kwenye kompyuta. Mimi siyo mpenzi wa kupiga picha, hata simu yenye storage gb 16 bado hiyo storage ni kubwa kwangu. Apps zangu za muda wote ni WhatsApp, telegram na Jf tu. Na simu zangu huwa sizimi data hadi muda wa kwenda kulala.Hizo alizotaja, mfano A3s ina snapdragon 450 ni soc ambayo haina nguvu sana lakini inakaa na chaji.same kwa samsung wanayo A02s nayo ina sd 450 inakaa na chaji ila mambo mengine average